Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).
Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi.
====
RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja...
Mkuu mpya wa majeshi ya Uingeleza ameyataka majeshi yake kujiandaa kuingia vitani katika ardhi ya Urusi
Ametoa ujumbe huo tarehe 16 Juni kwa wanajeshi wa vyeo na ngazi zote na kusema uvamizi wa Urusi kwa Ukrain unaashiria kuwa "kunahaja ya kuilinda UK na kuwa tayari kupigana na kushinda vita...
Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT.
Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana!
Kwa nini becoan zile...
Tofauti na nchi za Yugoslavia, Iraq, Afghanistan, Libya na hata Syria.
Urusi ni nchi yenye jeshi kubwa sana hapa duniani na lililokamilika.
Urusi Ina majeshi kamili ya Ardhini,angani na majini.
Sio TU kamili,Bali pia Ina silaha za Kila aina na za kipekee,katika majeshi hayo matatu.
Russia...
Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.
Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU...
Russia imesema wanajeshi wa Ukraine mia tisa na hamsini na tisa (959) waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol wamesalimu amri hadi kufikia jana (juma nne). Kati ya hao 959, wnajeshi 80 walikuwa wamejeruhiwa na kati yao 51 walipelekwa hospitali iliyo chini ya...
Rais wa Marekani Joe Biden amrudhia ombi la Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin lq kuidhinisha kurejeshwa kwa wanajeshi wa Marekani nchini Somalia kupambana na Al Shabab na kubatilisha uamuzi wa mtangulizi wake Donald Trump mwaka jana wa kuondoa karibu vikosi vyote vilivyokuwa huko.
Kabla ya Trump...
Kamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na majeshi ya Russia walipokuwa viongozi hao wakitoroka toka kwenye kiwanda walipokuwa wamejificha...
Wali ni mwanajeshi mstaafu wa kikosi maalumu cha Jeshi la Canada (The Royal 22nd Regiment). Baada ya Zelensky kuomba msaada wa wapiganaji toka Duniani kote, Wali aliamua kuitikia wito huo.
Vyombo vya habari mbali mbali Ulimwenguni vilielezea wasifu wa Wali kwenye field yake kuwa ni sniper namba...
Msemaji wa chama cha Tigray People's Liberation Front (TPLF),alikaririwa na vyombo vya habari akidai Aprili 25, 2022 majeshi yao yaliondoka Mkoani Afar, akiongeza kuwa anatumai kwamba msaada wa chakula unaohitajika sana unaweza kuwasili Tigray.
Vikosi hivyo vimekuwa vikishikilia Mkoa wa Afar...
Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji mhimu wa Mariupol. Umuhimu wa tukio hili ni kuwa hii inawakilisha kushindwa wa wanazi mamboleo wenye itikadi kali. Wanazi hawa waliokuwa wanaulinda mji huo ndio walikuwa lengo la Putin la "denazification".
Kwa hiyo lengo hilo linakuwa limetimia. Lakini...
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimezua wazi wazi vyama vya siasa kuunda vikundi vya majeshi.
CCM wanakaidi hii sheria na wanaunda majeshi
Ukraine imesema imechukua udhibiti wa eneo zima la Kyiv baada ya wanajeshi wa Urusi kurudi nyuma kutoka katika baadhi ya miji muhimu karibu na mji huo mkuu.
Naibu waziri wa ulinzi Ganna Maliar ameandika kwenye ukurasa wa Facebook hapo jana kwamba miji ya Irpin, Bucha, Gostomel na eneo zima la...
Mzee Kalinga alijaribu Kumuuliza hilo swali Mzee Sanga wakati akiwa anatafuna mkate wa kikinga na maziwa fresh ili apate nguvu kuendelea na safari yake ya ukinga milimani.
Mzee sanga akamweleza kwanza sababu kubwa chaguzi za Afrika akatania kidogo hata Tanzania ipo hua haziko huru na haki na...
Kwanza kabisa tukubali kuwa Urusi ni mwamba.
Pia tukubali kuwa ni kweli hii ni operation maalumu kama Wanavyoiita wao Urusi.
Ni kweli lengo la Urusi ni kuiodhiofisha kijeshi Ukraine na ni kweli Sasa Ukraine imedhoofika kabisa kijeshi kwa sababu kambi zake zote muhimu zimeharibiwa na miundimbinu...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa bajeti ya mwaka wa fedha 2022/23 wameongeza fedha kwa majeshi ya Ulinzi na Usalama ili wapunguze muda wanaotumia kushughulika na shughuli za uzalishaji.
Rais amesema hayo alipokuwa Msalato, Dodoma akizindua Kiwanda cha Samani cha Jeshi la Magereza ambapo...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Urusi General Valery Gerasimov ameongoza kwa mafanikio makubwa operesheni kadhaa za kijeshi Chechnya, Syria na Ukraine.
Aliye na Picha zake na wasifu wake anakaribishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.