maji

  1. K

    Dawasa msidangaye watanzania, shida ya maji bado ipo

    Ndugu zangu, nimesoma sehemu mhandishi huyu wa dawasa akidanganya. Pamoja na mvua zinazonyesha dsm kuna maeneo hakuna maji ikiwa ni pamoja na kinyerezi. Ndg waandishi wa habari popote pale mnaposoma huu ujumbe fikeni kinyerezi saranga mjionee, mpate habari za kukosekana maji yapata mwezi wanne...
  2. JamiiCheck

    MPYA Video inayoonesha maji yakisomba magari ni halisi au imetengenezwa?

    Mdau shiriki kuthibitisha Video inayoonesha maji yakisomba magari ni halisi au imetengenezwa?
  3. The Watchman

    Pre GE2025 Waziri mkuu akizindua mradi wa maji Igunga asema mazoea ya maji kukauka baada uzinduzi yakome

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria kutoka Makomero - Mgongoro, uliopo kijiji cha Mwamayoka, Igunga mkoani Tabora ambao umegharimu shilingi milioni 840.8 Akizungumza baada ya kuzindua mradi huo, ambao...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwa wanasayansi wabobezi.Ni zipi sababu za msingi zinazomfanya kuku asikojoe ili hali maji ana kunywa?

    Kwa ma senior wa science wa hapa Jf. Mimi ni mfuga kuku mzuri tu na nimzoefu lakini sijawahi kuona kuku anakojoa!! Nasemea kuku kwa sababu ndo ndege nilioanza kuwafuga tangu utotoni mwangu. Pamoja na kwamba kuku ni kiumbe anayekunywa maji pia lakini sijawahi kuona mkojo wake. Sungura kwa...
  5. upupu255

    DAWASA yakanusha taarifa za upungufu wa Maji Mto Ruvu

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa hali ya maji katika Mto Ruvu ni ya kutosha, hivyo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wasiwe na hofu ya upungufu wa maji. Mhandisi Bwire ameyasema hayo leo, Machi 11...
  6. The Watchman

    Pre GE2025 Trilioni 1.9 zinatajwa kuboresha huduma ya maji Dar, Pwani kwa miaka 4, vipi hali ya upatikanaji mtaani kwako?

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Serikali imefanikiwa kuwekeza katika utekelezaji wa miradi ya majisafi yenye thamani ya Trilioni 1.19 kwa kipindi cha miaka 4 ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Akiwasilisha taarifa ya mafanikio ya...
  7. K

    Hivi waziri wa maji yupo kweli? Hii changamoto ya maji kwa wananchi haisikii? Wananchi wanteseka tena ndani ya jij anania gani. Watendaji wapo kweli?

    Huu ujumbe nimeuchukua kutoka kwenye grupu la wananchi Tumsifu yesu kristo,Bwana yesu Asifiwe,Mwanakondoo Ameshinda,Asalam Aleykhum Jamia'Shalom-Ndg Zangu Naamini Kila mmoja wetu ameamka salama na Familia. Kwa Unyenyekevu wa Moyo wangu' na Shukrani Kwa Mungu Nawatakia Siha Njema mliojaliwa...
  8. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025

    Rais Samia akizindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025 https://www.youtube.com/live/ZwUZMNQWlbc?si=stvFOddgPgJ_0AHW Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe ni ukombozi kwa wananchi katika Wilaya za...
  9. Simao Latino

    Maji baridi sana (barafu ngumu) hayaui vijidudu vya magonjwa kama Typhoid. Is this true??

    Eti wakuu, kwa mfano ukichukua maji kutoka bombani kisha ukayaweka katika friji na kuganda mpaka -100 degree centigrade (opposite ya 100 degrees centigrade) na kuwa barafu gumu sana, kisha ukayaacha maji hayo kuyeyuka na kuwa liquid, bado yanakuwa si salama kwa kunywa kama ambavyo yangechemshwa...
  10. M

    Bafu linavujisha maji

    Habari wadau, naomba msaada wenu kwa kitu kinachonichanganya kidogo. Nyumbani kwangu sijamaliza ujenzi so kwa suala la choo na bafu familia nzima tunatumia kile cha public. Hiki cha masters tayari wameshaweka matoleo ni kiasi tu cha kununua sinki na shower ila tangu mwaka jana mwishoni maji...
  11. The Watchman

    Bodi ya Maji ya Uroki Bomang'ombe wilayani Hai yajenga Choo kipya baada ya uchakavu wa Choo cha wanafunzi katika Shule ya Msingi Kiselu

    Uchakavu wa Choo cha wanafunzi katika Shule ya Msingi Kiselu iliyopo Kata ya Machame Uroki Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro uliyokuwa ukihatarisha usalama wa wananfunzi katika shule hiyo kutokana na choo hicho kuwa na dalili za kutitia umepatiwa ufumbuzi baada ya Bodi ya Maji ya Uroki...
  12. OMOYOGWANE

    Nguvu ya kiroho ya maji ya kisima kisichokauka

    Habari wakuu Naamini wengi mnavijua visima ambavyo miaka mingi havikaukiwi maji . Maji hayo yana nguvu kiroho endapo yatatumiwa ipasavyo, Kiimani inaaminika maji haya mtu akiyaoga kwa kunuia au kumwaga eneo la kazi, basi jambo lake halitakauka kama maji hayo yasivyokauka ktk kisima hicho...
  13. A

    KERO Goba mitaa ya Kwa Robert, Muhimbili, Mageti haina maji wiki ya pili sasa

    Ndugu zangu, kuanzia Mbezi mwisho kwenda Goba na mitaa yake (Kwa Robert, Muhimbili, Mageti n.k) maji ni changamoto karibia wiki ya pili sasa. Na hili joto tunaishia kuoga jasho tu, mamlaka husika naomba liangalie hili jambo. Huwezi amini kuna watu wanaenda kuchimba kwenye mabonde ya mito ili...
  14. The Watchman

    Pre GE2025 Rukwa: Kijiji cha Kanazi kunufaika mradi wa maji ya kisima

    Naibu waziri wa Maji, Kundo Andrew Mathew amefanya ziara ya kikazi katika halmashauri ya wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa katika ziara hiyo Naibu Waziri wa Maji pia ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji Mkangale na amekagua mradi wa maji mtaa wa Isunta akiridhishwa na utekelezaji wake...
  15. Damaso

    Kata kiu na Maji ya Mama

    Afrika comedy hazitokuja kuisha! Enewei kampeni zimeshaanza.
  16. Mwanongwa

    KERO Kata ya Kijombe (Njombe) bado uhaba wa Maji ni tatizo kubwa, Mamlaka ya WANGIWASA fanyieni kazi hii

    Licha ya sisi Wananchi kulalamika kila mara lakini ni kama Mamlaka zinazohusika zimeziba masikio, kwa kuwa haitusikii, wanatatuaje kilio chetu. Kwenye kata yetu ya Kijombe, Wilaya ya Wanging'ombe hapa Njombe uhaba wa maji ni kilio kikubwa kwa baadhi ya Wananchi hali inayosababisha kutumia maji...
  17. Mhaya

    Sheikh Dr. Sulle atumia maji kuponya waumini wa kiislamu

  18. Roving Journalist

    MANAWASA yakiri Mji wa Nachingwea una changamoto ya upatikanaji huduma ya maji

    Februari 25, 2025 Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mji wa Nachingwea una changamoto ya huduma ya maji kwa zaidi ya miezi minne, hali ambayo imekuwa kero kwa Wananchi wengi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi – Nachingwea (MANAWASA) imetoa ufafanuzi: Kusoma alichoandika...
  19. Dr Luu

    Nguvu ya maji ya chemchem kwa afya yako

    Habari, Fahamu nguvu iliyopo juu ya maji ya chemichemi yakunufaishe. https://youtu.be/O4fUTm3_7NQ?si=HWHHkFS5RoWGowEo
  20. A

    KERO Mwanza: Hatuna Maji katika kata za Isamilo na Kiloleli

    Mwanza kata za Isamilo na Kiloleli hazina maji kwa zaidi ya wiki mbili sababu ukarabati miundo mbinu, maji tunapa ziwani . Hatujui yata rudi lini je huo ni utaratibu wa ukarabati maana imezoeleka hivo lakini watu wanaumia kwa sababu hapo ni mjini hakuna chanzo mbadala cha maji. Mlipuko wa...
Back
Top Bottom