Habari Wakuu ningefurahi Kama nitapata mchanganuo was biashara hizi mbili.
👉Kuanzia Gharama za uanzishaji, utekelezaji wa viwanda hivi.
Najua vyote ni Bora, ila utofauti lazima uwepo?l!!.
👉Kwa maeneo Kama mwanza au shinyanga ita faa zaidi???.
02, una mshauri mtu kipi Bora?
The majority of the hundreds of kilometres of tunnels dug under #Gaza by Hamas remain untouched and difficult to access for the #Israeli military.
.
As the war on Gaza nears the end of its fourth month, the Israeli military has managed to damage or render inoperable an estimated 20-40 percent...
"Kaka yangu Aloyce Kwezi amekuwa akinielekeza tatizo la maji hapa Usinge. Sasa Kwezi asipoongea itakuwaje. Mnatakiwa kumshukuru na kumpongeza sana, Mbunge wenu ni katika wabunge walio makini sana ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amehakikisha amesemea Usinge mpate mradi wa maji"...
Chuo kikuu Ardhi Dar es salaam kuna changamoto kubwa ya maji ambayo hayatoki katika hostel za kike na kiume.
Wanawake wanateseka sana wanaingia siku zao lakini maji hakuna na waziri anajitahid kufuatilia changamoto inakua ni kwa wakubwa kutekeleza.
Hostel za wanaume Zina wakazi zaidi ya 300 na...
AWESO AFANYA MABADILIKO YA WATENDAJI MAJI RUFIJI,
AMUONDOA KWENYE NAFASI YAKE MKURUGENZI UTETE.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya Kiuongozi katika Mamlaka ya Maji Utete kwa kumuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo bwana Christopher Mwigune akiwa wilayani...
AWESO AELEKEZA MKANDARASI ENEO LA CHANZO CHA MAJI RUANGWA KURIPOTI KAZINI, ARIDHISHWA NA UJENZI WA TENKI
Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ametembelea na Kukagua ujenzi wa Mradi wa Maji wa vijiji 34 vya wilaya ya Ruangwa na Vijiji 21 vya Wilaya ya Nachingwea kutoka Chanzo cha mto Nyangao.
Aidha...
Ndugu zangu,
Hizi mvua zinanyesha mpaka mafuriko, ila maji hayatoki kwenye mabomba je na DAWASA kuna mgao? sababu ni nini?
Hivi kweli hakuna kiongozi wa kusimamia haya mambo? umeme shida maji shida huku mvua zanyesha hadi zasababisha maafa?
Katika kanuni za uchumi kawaida nyumbani ni lazima kuongeza mapato na uzalishaji.
Kwa level ya nchi katika kukabiliana hali mbaya ya uchumi nchi hufanya mambo kadhaa kuhakikisha uchumi unakuwa imara.
1. Kuongeza export
2. kununua dhahabu
3. kupunguza matumizi ya serikali.
4. Mikopo ya hela za...
Habar za usiku huu wana nzengo, mimi ni mmiliki wa carwash somewhere
Kwa bahati mbaya au nzuri pale nilipoweka carwash yangu kuna shughuli kadha wa kadha za kijamii,
Kwa kipindi ambacho nimeanzisha hapakuwa na shughuli yeyote ila sasa kutokana na kuendelea kwa lile eneo ndio ikapelekea uwepo...
Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.
Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka...
Watu wakiwa wamefurika katika makazi ya maji eneo la Boko Basiaya kutokana na kungangania maeneo ya Dar es salaam na kuacha fursa na mashamba mikoani.
Mvua zilizonyesha mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam zimejielekeza kwenye mikondo yake na kusafisha baadhi ya mikpndo yake ikiwa ni mito na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.