Kwa kipindi cha Mwezi sasa hapa Goba maji hayatoki, viongozi wameshindwa kutusaidia hadi sasa. Nimepelekea hadi kwenye vyombo vya habari wanasoma ujumbe tu bila majibu
Acha nipeleke kwa mwanangu aipeleke mjini, watu wajue mjini tunaishije.
Kwasababu ndugu zetu wa vijijini wanadhani huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.