KERO Mwezi sasa hapa Goba maji hayatoki, viongozi hakuna wanachofanya, nikicheki media wananibluetick

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Duh Aisee

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2025
Posts
1,297
Reaction score
860
Kwa kipindi cha Mwezi sasa hapa Goba maji hayatoki, viongozi wameshindwa kutusaidia hadi sasa. Nimepelekea hadi kwenye vyombo vya habari wanasoma ujumbe tu bila majibu

Acha nipeleke kwa mwanangu aipeleke mjini, watu wajue mjini tunaishije.

Kwasababu ndugu zetu wa vijijini wanadhani huku tunachezea tu hela
 
pole sana kaka..
Goba gan uko?..

Mm kwangu. Kwa wiki yanatoka mara 2. J4 na alhamisi.

Pia anzia kufuatikia kwa mjumbe , mwenyekiti wa mtaa, na kata.
Utajua tu chanzo cha yote ni nini.
Na nn wanafanya au wamepanga kufanya kutatua tatizo husika.
 
Back
Top Bottom