Wakazi wa Kimara Korogwe upande wa njia inayopita Mji Mpya kuelekea KAM College tunahangaika kwa uhaba wa maji, hali hii inaleta usumbufu mkubwa kwani kinachotokea sasa siyo utaratibu wa kawaida uliozoeleka ambapo awali, maji yalikuwa yanatoka kwa mgawo mara 2 kwa wiki, siku ya Jumanne alfajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.