Serikali kupitia Wizara ya Afya na TAMISEMI komesheni hii tabia kwenye baadhi ya hospitali na zahanati
zinazowanyima majibu wale wagonjwa wanaofika kupima katika hospitali zao!
Wagonjwa hulipia gharama za vipimo kama kawaida, lakini inapofika hatua ya kupatiwa majibu nakala huwa hawapewi...
Tulishasema humu na kwingineko kwamba kuiteketeza CCM kunahitaji muda mfupi sana, wala hatuhitaji miezi mingi.
Muda huu ninaoandika hapa tayari Mwamba wa siasa za Eneo la Maziwa Makuu, Freeman Mbowe , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, kama anavyofahamika Nchini Zanzibar...
Hayo ndo majibu ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira kuhusu hatima ya kikokotoo kipya kwa wastaafu. Kuwa kafanya utafiti unaoonesha ni kikokotoo bora kuliko cha zamani. Hivyo, wastaafu wafanye utafiti ndo waulize wasilalamike tuu.
Mawaziri kama hawa hawatufai katika nchi inayotambua haki na maslahi...
https://youtu.be/R1zyTINo6kQ
Rafiki yetu Lord Denning ameuliza maswali kadhaa kuhusu tamko la TEC kwenye uzi unaopatikana HAPA. Nasi kwa hapa chini tumeamua kumjibu point counter point.
1. Lord Denning ameuliza: Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika...
1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri
2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine.
3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi yake nayo yawe ni makubwa makubwa.
4. Wachezaji wa Simba SC wana Hadhi ya Uturuki na Ulaya na siyo...
JE NI MKATABA WA BANDARI AU MAKUBALIANO YA BANDARI? JE NI MKATABA AU MAKUBALIANO YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR?
Leo 13:15hrs 29/06/2023
Rais Museveni alipokuja Chato aliwahi kusema Watanzania tuna uhaba wa maneno ya kiswahili,Ukweli ni kwamba neno "mkataba" kwa kiswahili lina maana pana sana...
Zanzibar hamuisikii ikiongelewa kwa kuwa yanayofanyika Zanziba sasa hivi ni tayari wapo hatua za utendaji. Mikataba imefikia hatua za kibiashara, siyo IGA tena.
Mikataba ya Kibiashara hatuwezi kuivujisha sisi lakini kwa kuwa wenyewe watendaji wamewachia, sasa hatuna "obligations" za " Non...
BAADHI YA HOJA KUU ZINAZOHITAJI MAJIBU KWENYE MKATABA WA BANDARI NI HIZI HAPA
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba,Je hakuna vitu vinavyotekelezeka,ndio maana mnaita makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi...
Hakuna anayepinga uwekezaji, utaratibu tu ufuatwe
Usimamizi wa bandari sio rocket science
Upinzani wa kuwekeza kwenye bandari
Serikali kukiri kushindwa kusimamia bandari ijiendeshe kwa ufanisi
Maswali ya msingi yanayopaswa kujibiwa
Uzoefu wa biashara wa DP World sehemu mbalimbali duniani
Jambo...
Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda.
Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
Kuhusu mkataba wa bandari tumeona mapungufu makubwa ya bunge letu kuhusu namna linavyosimamia serikali, tumeona bunge limetumika kama toilet paper na serikali.
Udhaifu huo wa bunge unapelekea kuchochea zaidi mahitaji ya katiba mpya ili kuepukana na udhaifu na upumbavu kama huo wa bunge.
Hivyo...
Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara (RPC), George Katabazi ni miongoni mwa mashahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili Miriam Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu na tajiri wa madini Mirerani, mkoani Arusha, Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya.
Leo Jumatatu...
Habari wana jamvi kiukweli sielewi ni nini hasa kinaendelea lakini nikiwa kama Mtanzania nahitaji kufahamu juu ya jambo hili hasa kwa wenye ufahamu
Ikiwa raisi wa Zanzibar ni Wazanzibar na raisi wa Tanzania anaweza toka Tanganyika au Zanzibar
Rais wa Tanganyika ni nani? Na ikulu yake ipo wapi?
Hii ndio nature ya ulimwengu kwamba lofa au mpumbavu asimiliki kitu chenye thamani.
Hata kama uvunguni mwako kuna lulu nyingi za aina tofauti, dunia ikijua tu kuwa wewe ni lofa itatumia gharama yoyote ili tu kukunyang'anya ile lulu.
Ni wakati sasa tuache kuomba utajiri kwa Mungu badala yake...
Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.