Sisi wakereketwa Mwananchi anauliza kabla ya maombi yenu kumuomba Rais upanuzi wa eneo la Jangwani kwa ajili ya kujenga Kiwanja cha kisasa hajayafikiria mtupe mrejesho wa lile eneo alilowapa RC enzi zile Bwana Paul Christian Makonda kule Kigamboni iliishia wapi?
Kwa maendeleo ya mpira.
MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023
1: UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika, nichukue nafasi hii kukushukuru sana kwa nafasi hii uliyonipa nami...
Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi.
Soma pia: Uzi mkuu...
Imetokea nigeria mwanaume mmoja aliamua kupima watoto wake wawili DNA.
Majibu yakatoka watoto wote si wake.
Mkewe akafa ghafla baada ya kupata majibu.
Ungekuwa weae ungechukua uamuzi gani kwa watoto au unampa ushauri gani huyo jamaa.
Dah nasikitika sana yaani unaweza kukata tamaa kabisa na ushahili wa PSRS unasoma unajiandaa vizuri kabisa unaenda kufanya mtihani unaufanya vizuri ulichosoma unakikuta kwa 100% na unatoka unaangalia unaona umejibu vilevile.
Cha kusitikisha majibu yanatoka umepata 40% daah roho inaniuma nahisi...
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo......
1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania?
2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako?
3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC?
4. Mpaka hivi sasa tokea uwe...
Nimekuwa nikisikiliza maswali na majibu yanayoulizwa Bungeni na majibu yanayotolewa Bungeni kwa kweli kipindi hiki hakina tija na kinatakiwa kufutwa kabisa.
Unaposikiliza majibu kwa kweli hayana mashiko na mengi hayana ukweli. Ni majibu ya kufunika kikombe na mwanaharamu apite.
Mfano hai ni...
1. Hamna mnachokijua hivyo tulieni tuli
2. Tayari Uzi umeshasomwa na Bi. Mkubwa
3. Nimepongezwa kwa Kulisemea hili kuliko mnavyonichukia
4. Kuanzia leo jitihada za haraka zitafanywa na Mwili kuletwa upesi
5. Uzi huu utakuwa ni Fundisho kwa Wamama Wengine
6. Najiona ni Mshindi wa Vita hii...
Kwa wale mlio tuma maombi ya green card, majibu huwa yanatoka kila jumamosi ya kwanza ya mwezi wa tano ambayo ni kesho.
Karibuni U.S.A the land of opportunities. Kila la kheri kwa mli apply.
Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa.
Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina.
Mbunge hajui hata...
Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika
Tuliza kicha tafakari hili swali
Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya...
Wakuu,
Kwanza nilishtuka, na kisha nikajitafakari kidogo then nikaona nikinyamaza itakuwa njema. Nimuite dada, mama, binti ambae ni mwenyeji wa kitambo mbali hapa kwetu.
Ghafla bila hiyana akanambia nimekuwa na majibu (comments) ya/za kukera, lugha mbaya zenye kukwaza. Nimekuwa mzee mkorofi...
BUPE MWAKANG'ATA - MASWALI NA MAJIBU BUNGENI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa na Mwanzilishi wa Bupe Foundation, Mhe. Bupe Mwakang'ata ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambalo kwa niaba ya Waziri lilijibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Mhandisi Godfrey Kasekenya
"Ni lini...
NANCY HASSAN NYALUSI - AMEIULIZA MASWALI WIZARA YA NISHATI, BUNGENI, DODOMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Hassan Nyalusi amemuuliza swali Waziri wa Nishati Bungeni, Dodoma leo tarehe 11 Aprili, 2023
Je, ni lini Serikali itakamilisha usambazaji wa umeme katika Vijiji 8 vya...
Hoja saba (7) za Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo Ndg. Dorothy Manka Semu kufuatia Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Mapitio ya kazi na mwelekeo wa Serikali na makadirio ya matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2023/2024.
Utangulizi
Juzi Jumatano tarehe 05 April 2023 Waziri Mkuu aliwasilisha...
"Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
Vipi hali zenu ndugu zangu?
Nimekuwa na maswali kadhaa akilini kwangu, lakini kila nikijaribu kuwauliza wana historia wanashindwa kunipa majibu yanayoeleweka. Anyway ngoja niyalete hapa huenda watapatikana wenye majibu yanayoeleweka.
Kwanza kabla ya kuendelea naomba niseme kwamba mada yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.