majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Baadhi ya hospitali na zahanati huwa zinawanyima majibu ya vipimo wagonjwa wanaoshindwa kununua dawa kwao

    Serikali kupitia Wizara ya Afya na TAMISEMI komesheni hii tabia kwenye baadhi ya hospitali na zahanati zinazowanyima majibu wale wagonjwa wanaofika kupima katika hospitali zao! Wagonjwa hulipia gharama za vipimo kama kawaida, lakini inapofika hatua ya kupatiwa majibu nakala huwa hawapewi...
  2. Photoshop editing requests na majibu yake

  3. Butiama: Oparesheni 255 yapokelewa kwa kishindo, Mbowe akumbana na Mabango, ayasoma na kutoa majibu

    Tulishasema humu na kwingineko kwamba kuiteketeza CCM kunahitaji muda mfupi sana, wala hatuhitaji miezi mingi. Muda huu ninaoandika hapa tayari Mwamba wa siasa za Eneo la Maziwa Makuu, Freeman Mbowe , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, kama anavyofahamika Nchini Zanzibar...
  4. Waziri Katambi: No Research no right to speak. Hayo ndo majibu ya Waziri kwa wastaafu

    Hayo ndo majibu ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira kuhusu hatima ya kikokotoo kipya kwa wastaafu. Kuwa kafanya utafiti unaoonesha ni kikokotoo bora kuliko cha zamani. Hivyo, wastaafu wafanye utafiti ndo waulize wasilalamike tuu. Mawaziri kama hawa hawatufai katika nchi inayotambua haki na maslahi...
  5. Waraka umeanza kuleta Majibu

    Wakati Majujee wanaendelea kuwehuka badala ya kusoma hoja, taratibu wengine wanaanza kurudiwa na fahamu. Sitakua na cha kuongea, bali mjionee.
  6. M

    SI KWELI Shemasi ‘George Rugambwa’ awauliza maswali sita Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    Kuna ujumbe unasambazwa WhatsApp, una kichwa kinachosema Maswali Sita kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) je, ni wa kweli?
  7. Majibu kwa Lord Denning kuhusu tamko la TEC juu ya mkataba wa Uwekezaji kati ya Tanzania na Dubai

    https://youtu.be/R1zyTINo6kQ Rafiki yetu Lord Denning ameuliza maswali kadhaa kuhusu tamko la TEC kwenye uzi unaopatikana HAPA. Nasi kwa hapa chini tumeamua kumjibu point counter point. 1. Lord Denning ameuliza: Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika...
  8. T

    Majibu Yana Maana Gani haya???!

    Naomba kujua maana ya majibu hayo kwenye hiyo attachment.Yaani ukimwi upo au haupo??!
  9. Yafuatayo ni majibu kwanini Simba SC inaenda Uturuki kwa Pre Season na haibaki Dar es Salaam kama Wengine?

    1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri 2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine. 3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi yake nayo yawe ni makubwa makubwa. 4. Wachezaji wa Simba SC wana Hadhi ya Uturuki na Ulaya na siyo...
  10. Je ni mkataba wa bandari au makubaliano ya bandari? Je ni mkataba au makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar?

    JE NI MKATABA WA BANDARI AU MAKUBALIANO YA BANDARI? JE NI MKATABA AU MAKUBALIANO YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR? Leo 13:15hrs 29/06/2023 Rais Museveni alipokuja Chato aliwahi kusema Watanzania tuna uhaba wa maneno ya kiswahili,Ukweli ni kwamba neno "mkataba" kwa kiswahili lina maana pana sana...
  11. Bandari ya Zanzibar imeshapita IGA na Oman kwa sasa ni mikataba ya HGA

    Zanzibar hamuisikii ikiongelewa kwa kuwa yanayofanyika Zanziba sasa hivi ni tayari wapo hatua za utendaji. Mikataba imefikia hatua za kibiashara, siyo IGA tena. Mikataba ya Kibiashara hatuwezi kuivujisha sisi lakini kwa kuwa wenyewe watendaji wamewachia, sasa hatuna "obligations" za " Non...
  12. Baadhi ya hoja kuu zinazohitaji majibu kwenye mkataba huu wa bandari,hizi hapa.

    BAADHI YA HOJA KUU ZINAZOHITAJI MAJIBU KWENYE MKATABA WA BANDARI NI HIZI HAPA 1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba,Je hakuna vitu vinavyotekelezeka,ndio maana mnaita makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi...
  13. M

    Maswali haya yakipata majibu sahihi, sintofahamu ya uwekezaji bandarini itaondoka. DP World ni kampuni ya kawaida ya biashara, haina tatizo lolote

    Hakuna anayepinga uwekezaji, utaratibu tu ufuatwe Usimamizi wa bandari sio rocket science Upinzani wa kuwekeza kwenye bandari Serikali kukiri kushindwa kusimamia bandari ijiendeshe kwa ufanisi Maswali ya msingi yanayopaswa kujibiwa Uzoefu wa biashara wa DP World sehemu mbalimbali duniani Jambo...
  14. 5

    Toba iletayo majibu

    👇
  15. R

    Kwa wanaume, piga simu kwa baba yako umwambie unampenda kisha uturudishie majibu hapa

    Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda. Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
  16. Kufanyike mdahalo huru wa Wananchi v/s Serikali kuhusu mkataba wa bandari

    Kuhusu mkataba wa bandari tumeona mapungufu makubwa ya bunge letu kuhusu namna linavyosimamia serikali, tumeona bunge limetumika kama toilet paper na serikali. Udhaifu huo wa bunge unapelekea kuchochea zaidi mahitaji ya katiba mpya ili kuepukana na udhaifu na upumbavu kama huo wa bunge. Hivyo...
  17. O

    Shahidi alivyotoa majibu ya kufikirisha kesi ya mjane wa Bilionea Msuya

    Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara (RPC), George Katabazi ni miongoni mwa mashahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili Miriam Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu na tajiri wa madini Mirerani, mkoani Arusha, Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya. Leo Jumatatu...
  18. Naomba majibu juu ya swali hili

    Habari wana jamvi kiukweli sielewi ni nini hasa kinaendelea lakini nikiwa kama Mtanzania nahitaji kufahamu juu ya jambo hili hasa kwa wenye ufahamu Ikiwa raisi wa Zanzibar ni Wazanzibar na raisi wa Tanzania anaweza toka Tanganyika au Zanzibar Rais wa Tanganyika ni nani? Na ikulu yake ipo wapi?
  19. Lofa hawezi kumiliki kitu cha thamani, Ukitaka kujua kuwa wewe si lofa tazama miliki zako utapata majibu.

    Hii ndio nature ya ulimwengu kwamba lofa au mpumbavu asimiliki kitu chenye thamani. Hata kama uvunguni mwako kuna lulu nyingi za aina tofauti, dunia ikijua tu kuwa wewe ni lofa itatumia gharama yoyote ili tu kukunyang'anya ile lulu. Ni wakati sasa tuache kuomba utajiri kwa Mungu badala yake...
  20. Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

    Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa. Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…