Miaka ya nyuma na fikiri hadi sasa
Wazazi walipendelea kuwapa watoto wao majina mawili.
Moja halisi katika vyeti likitumika hadi shuleni mfano GERVAS jina hili unakuta liltajulikana shuleni tu mtaani hawalijui.
Lapili ni hili la nyumban/jina la utani mfano MADENGE hili litajulikana mtaa mzima...