Sababu ya wazazi kutupa majina mawili ni ipi?

Sababu ya wazazi kutupa majina mawili ni ipi?

Marcy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
3,134
Reaction score
7,573
Miaka ya nyuma na fikiri hadi sasa
Wazazi walipendelea kuwapa watoto wao majina mawili.

Moja halisi katika vyeti likitumika hadi shuleni mfano GERVAS jina hili unakuta liltajulikana shuleni tu mtaani hawalijui.

Lapili ni hili la nyumban/jina la utani mfano MADENGE hili litajulikana mtaa mzima mzazi ataitwa Mama/ Baba madenge. Lengo la wazazi lilikuwa ni lipi?

Je, ni Kutulinda kiroho jina halisi lisitumike vibaya na wenye nia mbaya na mtoto pale mtaani?

NB: Jina lako la utani ni lipi?
 
Miaka ya nyuma na fikiri hadi sasa
Wazazi walipendelea kuwapa watoto wao majina mawili

Moja halisi katika vyeti likitumika hadi shuleni mfano GERVAS jina hili unakuta liltajulikana shuleni tu mtaan hawalijui

Lapili ni hili la nyumban/jina la utani mfano MADENGE hili litajulikana mtaa mzima mzazi ataitwa Mama/Baba madenge
Lengo la wazazi lilikuwa ni lipi?

Je ni Kutulinda kiroho jina halisi lisitumike vibaya na wenye nia mbaya na mtoto pale mtaani?
NB
Jina lako la utani ni lipi?
Jina langu la nyumbani limenisaidia kuwakwepa polisi kwa zaidi ya Mara 4. Kila wakija kwa Jina langu linalotambulika na serikali hawanipati
 
Jina la kwanza unapewa na wazazi na mara nyingi huwa la kimila

Jina la pili ni la kikoloni ambalo unapewa kwenye ubatizo kanisani

Kule uchagani kwa washika mila usipopewa lile jina lako halisi unaweza kuugua hadi ukafa, au unaweza kuwa tahiratahira hivi au ukawa huendelei kwa kutokupewa hilo jina.
 
Hakuna sababu za msingi kwa sasa majina yenyewe sikuizi ya kigeni David, James, Anabella, Ava n.k hatuzingatii maana zake kimila na kikoo.

Sisi wenyewe huku online majina kibao, utakuta Asha anajiita axhyqute instagram, facebook anajiita ashautamu, JF anajitaa ashytoto n.k
 
Jina la kwanza unapewa na wazazi na mara nyingi huwa la kimila

Jina la pili ni la kikoloni ambalo unapewa kwenye ubatizo kanisani

Kule uchagani kwa washika mila usipopewa lile jina lako halisi unaweza kuugua hadi ukafa, au unaweza kuwa tahiratahira hivi au ukawa huendelei kwa kutokupewa hilo jina.
Kinachosababisha ufe kisa kutopewa jina ni nin
Nyie wachaga tatizo mnaendekeza mizimu
 
Back
Top Bottom