Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Ni kweli si unaona mimi na wewe tuna majina mawili hata humu jf, una jina moja umekuwa mbwa wewe?šš¤£š¤£š¤£š¤£Nimejikuta nacheka...daah
Ni kweli si unaona mimi na wewe tuna majina mawili hata humu jf, una jina moja umekuwa mbwa wewe?šš¤£š¤£š¤£š¤£Nimejikuta nacheka...daah
š¤£š¤£Nimekumbuka tu jinsia Fulani huitwa hilo jina,nyakati za changamoto tu....kwenye raha huitwa babeNi kweli si unaona mimi na wewe tuna majina mawili hata humu jf, una jina moja umekuwa mbwa wewe?š
Call ma name babe šš¤£š¤£Nimekumbuka tu jinsia Fulani huitwa hilo jina,nyakati za changamoto tu....kwenye raha huitwa babe
DadekiKama mfano
Kuna majina ya ukoo/mila na majina ya kikoloni ubatizo/uislamMiaka ya nyuma na fikiri hadi sasa
Wazazi walipendelea kuwapa watoto wao majina mawili.
Moja halisi katika vyeti likitumika hadi shuleni mfano GERVAS jina hili unakuta liltajulikana shuleni tu mtaani hawalijui.
Lapili ni hili la nyumban/jina la utani mfano MADENGE hili litajulikana mtaa mzima mzazi ataitwa Mama/ Baba madenge. Lengo la wazazi lilikuwa ni lipi?
Je, ni Kutulinda kiroho jina halisi lisitumike vibaya na wenye nia mbaya na mtoto pale mtaani?
NB: Jina lako la utani ni lipi?