Habari wadau;;
Kila mmoja ana kile akipendacho na asichokipenda.
Siku hizi kumekuwa kunaibuka misemo na majina mbalimbali ktk jamii na yamekuwa yakitumika/kutumiwa.
Kuna baadhi ya majina kama udugu wangu, na mengineyo...
Sasa kuna jina ambalo mtu aweza kukuita ila ukajikuta tuu hupendi...