Kwakweli inashangaza sana
Tangu jana naona majina yanatoka nusu nusu.....mara wilaya hii mara wilaya ile ila cha ajabu mpaka sasa sijaona majina ya walioitwa kwenye usaili kwa mkoa wa Dar
Mwanzoni wa huu mchakato tangu kwenye hatua kutuma maombi niliamini mambo yatakwenda kisasa zaidi kwamba...
Mfano Majina ya Sensa yametoka kila Mkoa na wilaya na Halimashauri zake. lakini ukifungua yanakataa. Wataalamu tunaomba msaada wenu na majibu Yenu kitaalamu.
Baadhi ya majina kutoka Kenya ambayo yameongezwa kwenye Oxford English dictionary ni pamoja na "chapo", "githeri", "mpango wa kando", "chang'aa" na kadhalika.
Chapo, Githeri, Mpango Wa Kando Among Kenyan Words Added To Oxford Dictionary
By Joseph Muia For Citizen Digital Published on: July 15...
MADAI
Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa CHADEMA watapeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Zaidi ya hayo inadaiwa Bunge litaridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu...
Habari wadau ,, naomba niende kwenye mada,, ni siku nne Sasa majina mengi yametoweka ktk sim yangu hasa yaliyokuwa saved ktk email nimepambana kila namna nimefeli msaada pls"
Vita vya majimaji ni vita vilivyopiganwa na wazee wa kiislam kupinga utawala wa kimabavu wa kijerumani, lakini kwa makusudi vita hivi historia yake imechafuliwa kwa makusudi kuonesha kuwa vilikuwa vita vilivyopiganwa kwa imani za kishirikina.
Ikumbukwe kuwa kusini mwa Tanzania kuna mkoa unaitwa...
ATHARI YA MAJINA YA MITAA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA
Mtaa wa Makunganya unaanza karibu ya Msikiti wa Shia ambao uko kwenye kona ya Mtaa wa Zanaki unashuka chini kama unakwenda Picha ya Bismini (Askari Monument) na kabla ya kufika Picha ya Bismini inapita pembeni ya Msikiti wa Ngazija na...
Mwaka jana nilifanya maombi 8 ya kazi Serikalini(Tamisemi na Afya), taasisi binafsi.
Nilipigwa kibuti sehemu zote, taasisi moja tu ya binafsi ndio walinipa mrejesho wa kunikataa japo kwa usahili, mrejesho wao kidogo ulikuwa unaumiza ila nilipiga moyo konde na nikaamua kukaa kimya bila kutuma...
Hawa jamaa ni amsha, ni kwere, ubunifu wa Hali ya juu, sifurahii camera wanayotumia Ila action zao ni za kiwango cha standard gauge.
Kitu Kingine kizuri kwao, ni kuwa hawatumii sauti , na hii inafanya mtu yeyote duniani anaweza kuwaelewa ,...wabongo tunakwama wapi aisee, jamaa naona wanazidi...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria.
Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
Wapendwa samahani sana,
Naomba kufahamu kuhusu zile nafasi za kazi kwa wake waliotuma maombi Aprili 2022, ni kweli majina yalishatoka?
Usahili tayari umefanyika na wameingizwa kazini?
Urusi imetoa orodha ya watu 963 wakiwemo Wamarekani maarufu kuwa ambao hawaruhusiwi kuingia Urusi kutokana na sababu mbalimbali.
Jina maarufu lililoongezeka katika orosha hiyo mbali na Rais wa Marekani, Joe Biden na mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg pia kuna muigizaji wa Hollywood, Morgan...
Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.
Majina yanayotarajia...
SENSA 2022
Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza.
nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
Miaka 20 ijayo majina ya Asili Tanzania ya makabila kama Ngonyani, Mkude, Kimaro, Haule, Maduhu, Mwita, Wambura, Mabada, Sumari, Kiondo nk yatakua ni ya kuhesabu ana ni ya kutafuta ama yatakua yameisha kabisa.
Leo 95% ya watoto wanaozaliwa majini ni James, John, Abdalah, Mohamed, Abdrazak...
Wadau wote hamjamboni?
Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe
Hakuna kuulizana majina zaidi ya kupiga "story"
Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako
Niwatakie Sabato njema
Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili.
Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour.
Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali.
Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.