majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 Musoma: Wananchi walalamika majina yao kuhamishiwa vituo vingine bila kupewa taarifa

    Musoma. Baadhi ya wakazi wa kata ya Bweri manispaa ya Musoma wamelalamika majina yao kupelekwa katika vituo ambavyo hawakujiandikisha kupiga kura na kusababisha watembee umbali mrefu kwenda vituo vingine. Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatano Oktoba 28, 2020 kwenye kituo cha Bweri FDC...
  2. Dam55

    Uchaguzi 2020 Kuchanganywa kwa majina ya wapiga kura kwenye vituo kutafanya wengi wasipige kura, hatua za haraka zichukuliwe

    Habari wana jukwaa. Kwanza namshukuru Mungu kunipa uzima na kuniwezesha kutimiza haki na wajibu wangu kikatiba wa kupiga Kura. Pia nitoe pongezi kwa Tume kwa jinsi zoezi hili muhimu linavyoendeshwa hadi sasa, utulivu upo wa kutosha kwenye vituo vya kupigia Kura, pa si nashaka naweza kusema...
  3. R

    Majina ya wapiga kura yaliyobandikwa kwenye Kituo cha Kupigia Kura hayana serial numbers, kuna nini katika hili?

    Majina ya wapiga kura katika kila kituo yamebandikwa kama wiki hivi. Ukingalia hakuna serial numbers ambazo ni muhimu kujua kila kituo kina wapiga kura wangapi. Tumeambiwa ukifika unataja serial number ya jina lako, then msimamizi inakuwa rahisi kuliona na process ya kupiga kura inakuwa rahisi...
  4. barafu

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM: Msisumbuke kuangalia majina mengine kwenye karatasi ya kura, majina na wagombea wengine siyo halali, usipoteze muda kuwaangalia

    Akiwa Wilayani Chemba-Dodoma, akielekea makao makuu ya nchi Dodoma, mgombea Urais wa CCM amesimama na kuhutubia hadhira ya wana-Chemba. Lakini katika jambo la kushangaza ambalo pengine NEC wanapaswa kuliona kama sehemu ya kinyume na utaratibu, Mgombea Urais wa CCM anasema wagombea wengine...
  5. fenestra rotunda

    Uchaguzi 2020 Deadline ya majina ya mawakala ni kesho, CHADEMA mmejiandaaje?

    Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi vyama vyote vinatakiwa vipeleke majina ya mawakala wao kwa ajili ya viapo siku saba (7) kabla ya uchaguzi na kesho ndo siku yenyewe ya kuwasilisha majina na viapo. Sisikii mikakati ya CHADEMA katika hili maana kosa moja hapa linaharibu mchezo mzima. Sijajua pia...
  6. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

    Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC). Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu...
Back
Top Bottom