Mzuka wanajamvi!
Hii sasa imezidi kwa wanawake unakuta mdada jina lake Mwanaidi Maguire, Anastasia Shmidt, Scolastica O'brien unabaki kusema tu WTF. Na wala siyo jina la mume.
Ukija kwa madume utashangaa Wolfgang Petersen, Melkizedek Mendez, Sospeter D'Angelo, Obadiah Van Basten, Eliasante...
Karibu majina ya mitaa au viwanja vya ndege huwa yanatolewa na watu waliopo kuwaenzi watu fulani kwa michango yao. Mfano uwanja wa Benjamin Mkapa ulipata jina baada yya Rais wa awamu ya pili kufariki mwaka jana. Ila ndiye aliyeazimia kuujenga.
Aidha hata uwanja wa JK Nyerere International...
Kumekuwa na tabia ya kuhoji uraia wa Watanzania wenye majina yanayofanana na ya nchi za Rwanda na Burundi, kwanini hatuhoji uraia wa watu wenye majina yanayofanana na Wajaluo wa Kenya au Wamakonde wa Msumbiji, au Wamalawi, Zambia au majina ya Kiarabu na Kizungu?
Hapa napata uelewa kwanini...
1.Mkuu wa wilaya ya Tabora-Erick Kitwala
2. Mkuu wa wilaya ya Ilala- Mwilabuzu Ndatwa.
3. Mkuu wa wilaya Chunya- Sgt Simon Mayeka.
4.Naibu Waziri wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi- Angelina Mabula.
5.Mkurugenzi wa Tcra- James Killaba
6.Mkurugenzi wa Pssf- Hosea Kashimba.
Mdau na wewe...
JK amesema kuna watu waongo wanavumisha kwamba yeye hampendi Hayati Magufuli hiyi si kweli kwa sababu yeye ndio aliliweka jina lake kuwa namba 1 kati ya 5!
Kikwete amesema alipokea majina 38 ya waombaji wa urais na yeye binafsi akayapitia na kupata orodha ya majina 5 ambayo aliyapeleka kamati...
Habari wadau!
Nilikuwa nataka kujua je board ya wahandisi au engineering (ERB) inaumdwa na watu wangapi na majina yao kama yapo..!
Je yule mzee Dokta wa Civil engineering pale Kilimani mwenye kuingia na camera kama camera man ili ukicheat tu anakupiga picha anaposimamia mithiani yupo kwenye...
Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki.
Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu...
Na All - Rounder nawaombeni enyi Watoa Majina Siku zingine kabla ya kutoa Majina ya Watendaji wenu au Wanasiasa muwe mnatuambia Kwanza Watanzania ni nini au kipi cha maana na chenye Tija kwa nchi na Jamii hao (hawa) Wahusika wamekifanya na Kinaonekana.
Nami naomba Mradi wa Umeme Rufiji au ule...
Wakuu kupitia nlivyoandika kuna mwenye idea ya hiyo nyimbo nimeshindwa kuiandika vyema nimeikutia mwishoni,sifahamu hasa namna ya kuiimba
Am so soulaa enheee,shwai issh Manish ndolee,tikiittk mandole tikiitk mandole am so soulaa ehh wishu badnlldole ...
Mbona wana majina ya "ajabu" ajabu kama ya wateja wao? Wao si inabidi wajulikane wapokee maoni/malalamiko kwa majina halisi maana wao si wachangiaji wanapkuwa kazini au vipi. Kama Maxence Melo ni jina halisi!
Boqin
Wand
Active
Diversity
Panel
Moderator
etc etc
Niende moja kwa moja kwa mada.
Inasikitisha na ni fedheha kwa taasisi kubwa ambayo iko chini ya ofisi ya Raisi kuwaongopea/ kuwahadaa watanzania katika kutenda haki katika kutoa ajira kwa Watoto wa maskini pasipo kuwa na ukiritimba wa namna yoyote.
Leo nilikuwa nikipitia tovoti ya Sekretarieti...
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
Wasalaam,
Hivi kwanini mtoto alizaliwa anaitwa Mkwavinyika lakini baada ya kufanyiwa ubatizo anaanza kuitwa Paulo.
Au mtu alizaliwa anaitwa Mushaija lakini baada ya kutaka kumuoa Maiumuna anasilimu na kuanza kuitwa Juma.
Sasa nataka kufahamu haya yote yanatokana na nini:
Je, majina yetu asilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.