Yaani huwa nashangaa hadi natetemeka, yaani katikati ya tukio kwenye nyumba ya wageni tena show yenyewe inahusisha kikainishi cha KY Jelly, mtu anaanza kuwataja watakatifu utadhani anawaita wadogo zake waje awagawie karanga. Heeh, hamuogopi kwamba radi inaweza kushuka iwafumueni?
Hebu acheni...
Habari wadau wa JF habari na hoja mchanganyiko.
Nimeangalia orodha ya matajiri 10 bora duniani( Top ten richest people in the world). Tajiri namba 5 na 7 majina ya mwanzo hufanana.
Namba 5 Larry Ellison na namba 7 ni Larry Page. Je kuna Siri kubwa ktk baadhi ya mjina kimafanikio na hata...
Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu.
Napenda...
Wakati Nyerere akiwa hai alikuwa hapendi jina lake kutumika katika landmarks mbalimbali. Uwanja wa Nelson Mandela kule Sumbawanga ulikuwa umejengwa kama uwanja wa Nyerere lakini alipokwenda kuufungua akaubadilisha jina na kuuita Nelson Mandela. Siku za hivi karibuni kumekuwa na landmarks nyingi...
Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA) limesema hivi karibuni litaruhusu mtu yeyote anayetaka jina lake litumike kupewa mnyama faru kufanya hivyo, lakini baada ya kulipia kiwango fulani cha fedha.
Kwa sasa TANAPA inakamilisha boma la kuwahifadhi faru katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi mkoani...
Kama title inavyosema hapo juu. Ningependa kufahamu majina ya ndege wafuatao kwa lugha yenu ya asili. Unapotaja, naomba unijuze ni jina la kabila lipi.
Vile vile nimejaribu kuweka majina yao ya Kiswahili (in blue). Sina uhakika wa 100% kama ndivyo wanavyoitwa kwa Kiswahili. Hivyo basi, kama...
Wakuu,
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu.
Naomba kuuliza Kwa anaefahamu majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya veta January 2021 lini yatatoka?
Maana tuliambiwa tarehe 1/12/2020 yatakua tayari na mpaka sasa naona kimya kwenye website yao.
Ambae anafaham anisaidie tafadhali.
Kuna suala la hawa Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA ambalo wote naona tunalisahahu kulidadavua.
Ibara ya 78(4) ya katiba ya Tanzania inasema hivi
"Orodha ya majina ya wagombea wanawake iliyowasilishwa kwa Tume ya Uchaguzi na kila chama kwa ajili ya uchaguzi mkuu ndiyo itakayotumiwa na Tume ya...
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.
Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
---UPDATE---
Akihojiwa na shirika la...
Wanabodi,
Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka wakati akiwa reporter wa BBC kule Zanzibar na mimi nikiwa reporter wa DTV ya Dar.
Wakati wa vurugu za...
Najisikia vibaya Sana kama Kada wa CCM kila nikiona Vijana Wenzangu wakiulizia hili jambo na wengine kuongea Maneno ya Kebehi Kuhusu Serikali yetu. Naombeni Wahusika huko TAMISEMI mtoe tamko angalau kushusha presha ya Vijana ambao Tokea Mwezi wa tisa mwishoni wanasuburi majibu yao.
Nawasilisha!
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haijapokea orodha ya majina ya wabunge wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera, alisema tume bado haijapokea orodha hiyo kama...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera kupitia mojawapo ya magazeti ya...
1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.
By JJ MANYIKA
Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja.
Kwa sababu hiyo, tarajieni kuona wale wale waliowadhulumu haki zenu wakigeuka wema kwenu na...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuiita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina yake ya Kiingereza? (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia, Kongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.