majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nawatania

    Naruhusiwa kuweka jina la 3 kwenye jina lenye majina 2?

    Wakuu nauliza naweza weka jina 3 na lisilete shida yeyote kwenye mfumo wa kiserikali ikiwa vyeti vyangu vya shule na chuo vina majina mawili. Wanasheria naombeni hatua ya kwanza kufanya ili niweze kuwa na majina matatu kwenye mfumo wangu wa majina. Pia nauliza Kama haiwezi leta shida katika...
  2. Sam Gidori

    Fahamu: Nchi Zinazoitwa kwa Majina Tofauti na Yanayofahamika kwenye Ramani ya Dunia

    Zipo sababu nyingi za nchi kufahamika kwa jina lililopo, baadhi ya sababu hizo ikiwa ni pamoja na lugha ya asili ya wazungumzaji, wageni au wafanyabiashara waliofika katika eneo hilo, jina la mtu maarufu au eneo maarufu katika nchi hiyo nk. Hakuna sababu moja iliyosababisha kila nchi kupata jina...
  3. SAKA25

    Majina ya walioitwa kwenye usaili kazi za polisi mkoa wa rukwa

    Kuitwa kwenye usaili Polisi Rukwa
  4. U

    Nini kifanyike kwenye hali hii ya tofauti ya majina?

    Naombeni ushauri wa nini kifanyike. Mdogo wangu amesoma hadi chuo kikuu. Jina la ubatizo alilolitumia shule ambalo liko kwenye vyeti vyake ni tofauti na jina alilopewa na wazazi kabla ya ubatizo. Jina hilo la kabla ya ubatizo liko kwenye hati za mashamba aliyoachiwa na baba mkubwa, nauliza nini...
  5. N

    Manara acha uongo, weka vyeti hadharani au toa majina ya vyuo

    Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa Simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma Mass Comm South Africa na Advanced Diploma ya siasa China. I CHALLENGE you toa vyeti hadharani tuone AU TAJA MAJINA YA VYUO NA...
  6. R

    NACTE admission za vyuo vya Afya 2021/2022 toeni majina ya waliochaguliwa

    Time is running very fast, we need to know the fate of our applicants. Tafadhali toeni majina watoto wajiandae pamoja na wazazi mambo ya ada na gharama zingine.
  7. H

    Majina ya waliochaguliwa Vyuo vya Afya yashatangazwa?

    Eti wameshatangaza waliochaguliwa vyuo vya afya au bado maana walisema wanatangaza 22/8 nao mpka sasa hivi sijasikia kitu. Naombeni msaada hapo
  8. K

    Majina ya ukoo hayana wamiliki

    Nimeona clip moja ya Gwajima eti anamwita baba yake miaka 87 na kumlaghai aseme kwamba ana mwamrisha mkwe wake asitumie jina lao. Hakuna mtu binafsi ambaye anamiliki jina na koo yoote . Haya majina ya koo yalikuwepo miaka mingi sana na wengi hata hawajui yametokea wapi. Hakuna mtu ambaye ni...
  9. Replica

    Rais Samia: Tuziangalie Sheria za Uchaguzi zisiwanyime haki wanaokosea kuandika majina yao

    Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa...
  10. bryan2

    Tukumbushane Majina (nick names) ya timu za taifa mpira wa miguu

    Sio mbaya leo weekend tukakumbushana majina mbadala ya timu za mpira wa miguu hasa za bara letu la Afrika. Itapendeza Ukataja bila kuzama Google we taja ukikosea watakuja wengine kufanya marekebisho ukitwambia na maana yake itapendeza zaidi,kwa kuwa mfano naanza Mimi. Taifa Stars - Tanzania...
  11. aka2030

    Vitu kupewa jina la Nyerere imetosha tuvipe na majina ya viongozi wengine

    Pamoja na kuwa baba wa Taifa ila vitu vingi sana vimepewa jina lake Nashauri imetosha tuwape na wengine maana sasa historia inakuwa kwa mtu mmoja kama wengine hawakuwepo tu hebu tazama Mwalimu nyerere memorial academy Mwalimu nyerere international airport Nyerere hydroelectric power Nyerere...
  12. comte

    Unaunga mkono hoja hii ya majina ya barabara

  13. N

    Staili ya Mwigulu ya kuchora majina yake kwenye mawe na miti kutumika na CHADEMA kumtetea Mbowe

    Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015. Hii mbinu ninaona italeta...
  14. Khadija Mtalame

    Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

    1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108) 2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115) Ikulu hawako serious. Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi...
  15. F

    Haya majina ni coincidence au ndivyo ilivyo

    Kuna majina ya hawa watu wawili, mmoja ni mwanasiasa Kwa maana ya DC na mmoja ni mwanadiplosia. Haya majina ni Godwin Gondwe na Godwin Gonde. Haya majina nimekutana nayo na kidogo yamekuwa yananichanganya.
  16. J

    SoC01 Fahari ya majina yetu ya asili Tanzania imekwenda wapi?

    Hivi sasa watanzania tulio wengi majina yetu hayana asili yoyote ya Tanzania, sana sana tumebakisha majina ya mwisho kuwa ya asili na yale ya mwanzo kuwa ya Kizungu ama Kiarabu. Mfano mzuri ni mimi hebu tizama jina langu hapo juu. Natambua fika kuwa majina haya tulio wengi tumepewa na wazazi...
  17. Planeti

    Mfumo wa usajili majina ya biashara BRELA

    Wakuu habari zenu, Nimeanza jana kujaribu kusajili Jina la biashara kwa mfumo wa Brela ORS. Nimejisajili vizuri tu ili kuendelea na hatua inayofata, sasa shida ndio imeanzia hapo.. Kila nikijaribu kupakia taarifa ili kuendelea na hatua inayofuata, wao hunigomea. Wanadai kuna taarifa...
  18. J

    Mbatia ataka majina ya waliofisadi mabilioni ya Benki kuu yawekwe hadharani, asema wale waliosimamishwa Hazina ni dagaa tu

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia ameitaka serikali kutaja hadharani majina ya waliofisadi mabilioni ya fedha za benki kuu yaliyotajwa katika ripoti ya CAG. Mbatia amesema kuwasimamisha maofisa wachache wa wizara ya fedha waliogawana fedha hizo kama posho haitoshi, wale ni dagaa tu...
  19. A

    Aina tofauti za nyumba na majina yake

  20. Miss Natafuta

    Herufi za mwanzo za majina na mahusiano kuwa mazuri

    Sijui ni coincidence au lah ila nimenotice kuna watu huwa naelewana nao sana. Sijawai kudate wanaume wengi seriously ila sometimes kuna ile unajoke tu haupo serious wanawake wenzangu watanielewa. Ila nimenotice urafiki wangu na watu wenye herufi A kina Alex, etc huwa amaizing sana sana pia...
Back
Top Bottom