Mandhari kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing tayari imepangwa mjini Beijing wakati michezo hii inafunguliwa Ijumaa tarehe 4 mwezi huu. Na mascot ya michezo hii ni “Shuey Rhon Rhon”.
Baada ya China kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing, michezo ya majira ya baridi ya walemavu imeendelezwa kwa kasi nchini China.
Katika miaka 6 iliyopita, shule nyingi maalumu kwa ajili ya walemavu zimeanzisha masomo ya michezo ya...
Februari 28, 2022, kituo kikuu cha wanahabari cha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing kilianza kazi rasmi baada ya kukamilisha mabadiliko kutoka Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi.
Takriban vyombo vya habari vya uchapishaji na watangazaji 3,300 kutoka sehemu...
Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, mitaa ya Beijing imeanza kuwa na mazingira ya shamrashamra kwa michezo hiyo. Kazi mbalimbali za maandalizi ya viwanja vya michezo, utoaji wa huduma, utangazaji n.k zote zimemalizika.
Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing na kuwa ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing itamalizika leo, tarehe 28 Februari. Mandhari zinazobadilishwa ni pamoja na maeneo 9 ya maua, picha 60, bendera elfu 18...
Tovuti ya gazeti la Marekani “Los Angeles Times” tarehe 19 mwezi huu iliripoti kuwa vifaa vya kisasa vya kiteknolojia kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing vinawavutia watu wengi duniani, ikiwa ni pamoja na mgahawa unaotoa huduma wenyewe, roboti ya usimamizi kwenye hoteli na...
Kuanzia tarehe 21 hadi tarehe 28 mwezi huu, Beijing itaendelea na kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangiliwa kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kuwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi.
Bustani ya Shougang ya Beijing ilifuatiliwa na dunia nzima wakati Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 ambapo wanamichezo wa China Gu Ailing na Su Yiming walipata medali za dhahabu.、
Ufunguzi na ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kumbe ni sehemu ya kwanza na ya pili ya sherehe moja.
Maonesho ya fataki kwenye ufunguzi wa michezo hiyo yalionesha mchoro wa msonobari unaowakaribisha wageni, na maonesho ya fataki kwenye ufugaji wa michezo hiyo...
Mwenge wa Olimpiki umezimwa, na kufunga pazia kwenye Michezo ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022, lakini shauku bado inaendelea kutoka kwenye tamasha la michezo ambalo limechangamsha na kuhamasisha dunia katika wakati huu wa janga la Corona.
Thomas Bach, Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki...
Wafanyakazi wanaohudumia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kwa karibu mwezi mmoja walifurahia kwa kucheza kwenye theluji kwa mitindo mbalimbali tofauti katika uwanja wa mashindano kusherehekea baada ya michezo hiyo kumalizika kwa mafanikio wiki iliyopita. Na wakapiga picha ya...
Wafanyakazi na wanaojitolea zaidi ya elfu mbili wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wamepiga picha ya pamoja ya ukumbusho tarehe 21 mwezi huu katika Uwanja wa Michezo wa Taifa mjini Beijing, China baada ya michezo hiyo kumalizika. Waliosimama kwenye barafu ni wahudumu...
Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imefungwa kwa mafanikio makubwa. Beijing ambao ni mji wa kwanza ulioandaa Michezo yote ya Olimpiki ya Majira ya Joto na ya Baridi duniani, kwa mara nyingine tena iliishangaza dunia. Kauli mbiu ya michezo hii ni “Pamoja: Kwa Mustakabali wa...
Februari 13, Maonesho ya Taa ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kitaifa mjini Beijing, unaojulikana kama The Bird's Nest, ambayo yaling’ara sana.
Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi inayoendelea imevutia macho ya dunia. Jumla ya nchi tano za Afrika, ambazo ni Kenya, Nigeria, Madagascar, Morocco na Eritrea zimeshiriki kwenye michezo hiyo. Kwa nchi za Afrika, kushiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi, sio tu ni ishara ya...
Hafla ya ufunguzi wa Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imefanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa taifa wa Beijing. Rais Xi Jinping wa China atatangaza kufunguliwa kwa michezo hiyo.
Wakuu wa mashirika ya kimataifa wakiwemo mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Bw...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.