Hatimaye mwaka mpya wa jadi wa China ambao ni mwaka wa chuimilia umefika! Mwaka huu umeanza kwa kishindo, matumaini na macho ya dunia yakielekezwa China. Kwa mara nyingine tena Beijing ni mwenyeji wa wageni kutoka pembe zote za dunia wanaojumuika kwa ajili ya olimpiki ya majira ya baridi maudhui...
Hassan zhou
Awamu ya 24 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itafunguliwa Beijing mnamo Februari 4. Kutokana na hali ya hewa ya joto kwa mwaka mzima katika maeneo mengi ya Afrika, inaeleweka kuwa ni nchi chache tu, zikiwemo Eritrea, Ghana, Madagascar, Morocco na Nigeria ndizo...
Na Pili Mwinyi
Mwanzoni mwa mwezi Disemba 2021 serikali ya Marekani ilitangaza kususia Michezo ya Olimpki ya Majira ya Baridi ya Beijing ya mwaka 2022, kwa kile walichodai kwamba wanapinga ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na China, hivyo haitaleta maafisa wake kuja China kushiriki...
MIEZI YETU NDANI YA MWAKA NA MILA ZA WAPAGANI
Naam
Asilimia kubwa ya wengi wetu tunaamini katika Mungu hilo hata mimi nlifundishwa tangu wakati ule nipo madrasa kule jang'ombe zanzibar.
Na kama tujuavyo Historia tangu kipindi cha Eve na Adam mpaka sasa ni vita kati ya shetani na watoto wa...
Julai 31 mwaka 2015 mji wa Beijing China ulijawa na furaha, shamrashamra, nderemo na vifijo baada ya Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa kuutangaza kuandaa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi pamoja na michezo ya Olimpiki ya walemavu ya majira ya baridi mwaka 2022, kwenye kinyang’anyiro...
Mwezi Agosti mwaka 2008, mji wa Beijing uliandaa michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto, ambayo ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa, na kupongezwa na jamii ya kimataifa. Miaka 13 baadaye, mwezi wa Agosti kwa mara nyingine tena, baada ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Tokyo, mji wa Beijing umevutia...
Wanajamvi Amani kwenu
Hivi leo dunia imebadilika, majra nayo na nyakati zinazidi kubadilika
Huko tuendako, kwa sababu ya milipuko ya magonjwa na masharti yanayotokana na milipuko hiyo ya magonjwa inatufanya walimwengu tuishi kidizaini kama tulikuwa na utalii. Mtu kusafiri kwenda mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.