Kila siku huwa najiuliza hivi ni kweli hivi vilabu vyetu vina vitengo kabisa vya habari na mawasiliano? Au ukishakuwa na smartphone na kujuwa kubwabwaja na kupost mipasho ndio imeisha hiyo?
Mimi Leo naomba niwaongeze ili msijizime data mjiupdate, wachezaji masuper star majina yao yanatumika...
Kutokana na makosa mengi yaliyotokea au yaliyofanywa na makarani wa sensa juu ya uhesabuji hasa vyumba katika majumba ya watu, maana katika majumba mengi huku mitaani waweza kuta nyumba ina vyumba pengine kumi lakini vingine ni stoo, vyumba vya walinzi, vyumba vya madawa ya mifugo na pengine...
Jamii zetu nyingi ni masikini na ni watu wachache Sana ambao ndio wamefanikiwa na hivyo kuwafanya wawe na majukumu mengi Sana katika ukoo....na kuwafanya wawe kimbilio ktk maswala mbali mbali yawe ya furaha na kuhuzunisha.
Na kibaya Zaidi ni kama vile watu hawa waliofanikiwa wanainjoi Sana kuwa...
UTANGULIZI
Nikiwa wodini nauguza mgonjwa wangu katika moja ya hospitali kubwa ya Rufaa nchini, Nilimsikia daktari mmoja akitumia lugha ya kiingereza kuwaambia wanafunzi wanao somea udaktari ambao walikuwa wakitoa huduma kwa mgonjwa aliyekuwa kitanda cha pembeni na alicho mgonjwa wangu maneno...
Waziri wa Nishati, Makamba amempigia simu Waziri wa Kilimo kuhusiana na suala la tatizo la kilio kikubwa cha bei ya Mbolea akiwa kwenye mkutano wa wananchi Ludewa, inamaana Bashe hawezi kusimamia majukumu yake hadi asaidiwe na makamba au Bashe hawezi kufanya ziara Ludewa kuzungumza na wakulima...
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate kwanza kazi ya kufanya.
Ndoto yangu ni kuwa daktari na sikuweza kutimiza vigezo kwenye masomo ya...
Wakuu habari,
Kuuliza sio ujinga , ningependa kujua ni yapi majukumu ya Mnadhimu Mkuu kwenye Majeshi ya Ulinzi ktk Nchi zetu ,
Je, majukumu yao hayafanani na CDF au!?
Kuna mdau amelalamika sana kwamba ameenda hospitali ya Umma akakuta huduma ni mbovu na wagonjwa ni wengi sana ila watumishi wanapiga tu story mpaka wagonjwa wengine wanazidiwa mapokezi.
Amedai mgonjwa anapokelewa saa mbili ila hadi saa nne hajapata huduma yoyote!
Naomba nikanushe na nijibu...
Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.
Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali...
Serikali ya Ethiopia imepongeza kampuni za China kwa juhudi zao za kutekeleza majukumu ya kijamii nchini humo.
Taarifa hiyo imetolewa na naibu meya wa Addis Ababa Bw. Yasmin Wohabrebbi kwenye hafla ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Mekanisa Abo. Mradi huu umefadhiliwa na kujengwa na...
Huko Kanda Maalum ya Mkoa wa Mara, Mwalimu amefungwa kwa kula hela ya ujenzi wa madarasa ya shule yake.
Haya ndiyo matokeo ya sra zisizo na mashko katika ujenzi.
Badala ya fedha hizo kuonekana kama mtaji wa ujenzi, watu wanageuza kuwa fedha za kula.
Hili limetokea sehemu nyingi sana nchini...
Huyu mbunge angepata hii nafasi , angefanya makubwa.
Biashara mtandaoni zinazidi kufa , kwa sababu ya Bei ya bundle.
Vijana waliokuwa wakiingiza 24 Mil / month kwa kupitia online, hakuna hata mmoja
Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa...
Inabidi tuseme wazi bila kupepesa macho!! Tatizo la Dr Koboko ni kuwa anaona kula kwa kadri ya urefu wa kamba ya udaktari tu haitoshi! anataka aunganishe na ile ya ufamasia!! Sababu yake ni kuwa eti kwa sababu anaweza kutoa dawa pharmacy bila mgonjwa kuwa na prescription
Hataki mfamasia atoe...
Mwandishi wa habari Shireen Abu Akleh enzi za uhai wake
Mwandishi wa habari wa Al Jazeera Shireen Abu Akleh (51) ameuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa akiwa katika majukumu yake ya kazi wakati akifuatilia uvamizi wa Jeshi la Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin.
Wizara ya Afya ya Palestina...
Wasalaam,
Kwanza kabisa niwapongeze na kuwashukuru askari wetu wa jeshi la polisi kwa KUTEKELEZA MAJUKUMU yao, watu mengi huwabeza askari wetu lakini ukweli ni kwamba bila wao hata kaugali tusingeweza kulala kwa amani huku mitaani.
Jambo ninaloomba ufafanuzi ni kwamba ukoje utaratibu wa askari...
Idara ya usalama wa taifa, yani najiuliza maswali yafuatayo:-
1. Kundi la watu zaidi ya 15 wanakusanyika wakiwa na siraha maeneo ya mjini, hakuna taarifa yoyote kwa vyombo vya usalama?
2. Mtu wa kwanza hadi wa 19 wanajeruhiwa, hakuna alert yoyote bado kwa vyombo vya usalama?
Kwa hali hii je...
Nawasalimu kwa jina la JMT kazi inaendelea.
Sina mengi ningependa tu kufahamu hawa wazee wetu Mzee Kabudi na Mzee Lukuvi majukumu yao mapya ya kuwa viranja wa mawaziri yameleta matokeo chanya? Na je ukitaka kuwapa ushirikiano ofisi zao ziko wapi za ukiranja?
Ni hayo tu.😄😄
Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.