Wakuu habari za majukumu, naomba kujua kwenye uelewa wa huyu mwamba ambae nimezungushia kiduara kwenye hizo picha nilizoattach, nimekuwa nikimuona kwenye shughuli mbali mbali toka enzi za utawala wa JIWE na sasa mama SSH, je huyu mwamba ni nani na majukumu yake ni yapi, ni kitengo? Taswira yake...