Katila jambo ambalo huwa linanifikirisha mpaka leo, ni jinsi ambavyo wateja wanaotaka kuunganishiwa umeme ni wengi sana, lakini Tanesco imeshindwejekuwafikia. Na wale wanaounganishiwa umeme,basi kasi ni ya kusuasua sana, tena wengine ni mpaka watumie njia ya mkato.
Hii ina maana Tanesco, pamoja...