majumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. YB Renny

    Suala la ukusanyaji taka mitaani, majumbani na maeneo ya hadhara

    Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
  2. R

    Ofisi za Maprofesa na Madaktari wa UDSM zinathibitisha namna Taifa lilivyofeli. Je, hata majumbani kwao wanaishi kwa dhiki hivi?

    Naomba niseme ukweli kwamba ukitembea vyuo vikubwa Duniani utabaini Ofisi za waalimu ( Tutorial/Dr/Prof) NI eneo ambalo mnaweza mkakaa nakufanya majadiliano mkiwa na facilities zote. For the first time nimefika university of Dar es salaam kumwona rafiki yangu ambaye nilisoma naye Ila Kwa sasa...
  3. matunduizi

    Kwanini Matajiri wa siku hizi hawawezi kuishi na watu wengi majumbani mwao kuliko wale wa enzi za zamani?

    Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani. Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia...
  4. MakinikiA

    Serikali inipe tenda ya kuwatengezea maji bahari kwa matumizi ya nyumbani

    Salama wandugu Sijui tenda nitapata vipi Mimi mzalendo. Mimi nitazalisha nawauzia DAWASA. Kama tatizo kama hili linawashinda wasomi wetu hawa, kuna haja gani kuendelea kuwasema tu hapa JF bila kuwasaidia na kuisaidia nchi kama mzalendo namba 1. Ni ndani ya wiki mbili huduma inaanza...
  5. M

    Naombeni suluhisho la 'Kikatili' la Kukabiliana na Paka wanaolia kama Watoto Wachanga Majumbani Nyakati za Usiku tu

    Kuna Mmoja nimetoka na Panga ili nikabiliane nae Kikamilifu nikakuta amenisonya na Kujamba kama Binadamu nikaamua kurudi tu ndani na Panga langu na Kuendelea kuwa hapa JamiiForums, ila kwa Nje nawasikia Wakilia kama Watoto Wachanga na tena sasa hivi Wamezidisha Kulia na wakisogea upande wa...
  6. M

    SoC02 ‘Panya Road’ ni panya tunaoishi nao majumbani na si vichakani

    Alisikika kamanda mkuu wa kanda ya kipolisi ya dar es salaam mwezi wa tano mwaka huu wa 2022 akisema wamefanikiwa kuwakamata vijana wasiopungua thelathini na moja 31 katika operesheni ya kuwasaka panya road iliyofanyika maeneo yote ya mkoa wa dar es salaam ambayo ilianza takribani tarehe...
  7. Rymez40

    SoC02 Samadi ya maji ya majumbani ya faida zake

    Samadi ya maji ya majumbani ni mchanganyiko wa samadi ya kuku, kinyesi cha wanyama wa kufugwa katika hali zote mbili yaan unyevu au ukavu. Wanyama hao ni ng'ombe, nguruwe, mbuzi na kondoo pamoja na maji. Viungo vyote hivi vina changanywa kwa pamoja na vinaweka kwenye chombo kama ndoo au kuroba...
  8. menny terry

    Majumba ya kifahari ndani ya pori hapa Arusha ni mfano wa kuigwa

    Wakuu, Waswahili wanasema tembea uone! Katika pitapita zangu kama vlogger huku Arusha nimekutana na majumba ya kifahari, viwanja vya Golf, mito ya maji safi, wanyama mbalimbali na makazi yenye ubora wa hali ya juu vyote vikiwa ndani ya pori! Yaani wakati tunabanana hapo mwananyamala na Manzese...
  9. E

    SoC02 Unyanyasaji wa Wenza Majumbani: Inatosha! Tuwafikirie watoto wetu

    Unyanyasaji wa wenza majumbani ni aina ya Unyanyasaji wa Kijinsia unaohatarisha afya ya umma ulimwenguni kote na huletelea madhara kisaikolojia, kiuchumi na kiafya kwa mtu binafsi, familia na jamii. Unyanyasaji wa wenza majumbani ni tabia ya ndani ya mahusiano ya kimapenzi zinazoletelea madhara...
  10. M

    Changamoto wanazopitia watoto majumbani

    Jamii yetu kwa ujumla tunajau/tunafikiri changamoto ziko kwa watoto wa mitaani tu ila jibu ni hapana kwani watoto wa majumbani nao kuna changamoto mbalimbali ambazo zinawapeleka kuishi kwenye mazingira magumu. Mfano wazazi/walezi kushindwa kujua wajibu wao wa kuwapa watoto elimu bora, afya...
  11. D

    Jinsi ya kuzuia wezi wa Tv majumbani

    Je umenunua TV yako ya gharama kubwa na bado unahofia wezi wanaweza kuja kukuibia TV yako. Je unajua asilimia kubwa ya vitu vinavyoibiwa majumbani ni TV. I-SECURE wanalo jibu ni jinsi gani unaweza kulinda TV yako.Tumekuletea kifaa kipya kitakachofungwa ndani ya TV yako na kukuwezesha kujua...
  12. Movies Store

    Nanunua Mitungi Empty ya Gas za Majumbani Kampuni zote

    Habari wakuu, naomba kama kuna anaeuza mtungi wake wa gas anicheki au kama kuna wale wafanyabiashara wa gas wanaoacha biashara zao na kuuza mitungi yao naomba pia niambiwe. Nanunua mitungi yote size zote, idadi yoyote iwe tu ya HALALI na sio ya WIZI hii ni kwa wakazi wa Dar, mwenye mitungi...
  13. Sky Eclat

    Maisha kabla ya maji na umeme kufika majumbani

    Juu ya meza iliyo kando ya kitanda utaona taa iliyotumia mafuta, bakuli na jagi la maji. Hivi vilikua ni vitu vya muhimu sana chumbani kwa mstaarabu. Taa ya mafuta ilipunguza ajali za moto, kabla ya hapo watu walitumia sana mishumaa ambayo maya nyingi ilishika moto wa pazia au karatasi zilizo...
  14. Tarimofundiumeme

    Tunahusika na uwekaji mifumo ya umeme majumbani na viwandani. Tuna leseni ya Ewura na tumesajiliwa kwenye mfumo wa Nikonekt

    Katika Kipengele cha uwekaji mfumo wa Umeme katika jengo mpaka kukamilika hupitia hatua 3 kuu. (1) kutindua ( plan and design circuit's) hii inahusika na ujengaji wa metal box zote single na double, mainswitch, waterproof box pamoja na round box na uwekaji wa bomba baada ya hatua hii plasta na...
  15. idoyo

    Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

    .
  16. D

    Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika

    Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika 1 Rwanda 🇷🇼: Kaya za Rwanda hulipa wastani wa $0.26 kwa kila saa ya kilowati ya umeme, hii itatafsiri kuwa $6.24 kwa siku na $194.44 kwa mwezi. Cape Verde 🇨🇻 : Kilowati ya saa moja ya umeme itagharimu kaya moja huko Cape Verde...
  17. The Transporter

    Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

    Niende moja kwa moja kwenye mada kama maeneo nayoishi kumekuwa na vitendo vya wizi mchana na usiku ila style wanayotumia wizi ni kama aina mpya flani kwani kama miezi miwili kuna wezi walivamia usiku kwenye duka la vifaa vya ujenzi na kuiba bila kuvunja grill yaani walifungua kufuli kama kwao...
  18. sky soldier

    Tuliowahi kuibiwa vitu majumbani, kwenye gari, n.k -- ni kitu gani hukudhania wangeiba?

    Binafsi nakumbuka nikiwa chuoni Arusha, kuna siku nlikuwa nahamia geto flani. Basi tripu ya kwanza nilipeleka mapazia, meza na kitanda. Sasa wakati nimemaliza kufunga kitanda nimechoka hatari, nikanunua bia mbili, kwajili ya mimi na jamaa kanisaidia kufunga kitanda, tulipiga pafu moja tu...
  19. heartbeats

    Nataka kuanzisha App ya kukopa ,kununua bidhaa za majumbani

    Wasalaam Nilikuwa nadiscuss na dada angu wa faida kuhusu kuanzisha platform ya kuakutanisha watu wenye vipato mbali mbali hasa kipato cha kati na chini ,ila wana uhakika wa kipato hata kiduchu na ni waaminifu, Hii platform itaenda na wakati mtu akijisajili anajisajili na details zake ikiwemo...
  20. Bushmamy

    Wenyeviti wa mitaa kutolipwa mishahara ndio chanzo cha Rushwa katika kutoa Huduma, na pia kukosa ofisi ya kufanyia kazi

    Wenyeviti wa serikali za mitaa, wamekuwa wakiweka mazingira ya Rushwa katika utendaji wao kwa madai kuwa wanafanya kazi ya bure na hakuna malipo yoyote wanayopata kutoka serikalini. Hali hii ni tofauti kutokana na kuwa kuna baadhi ya halmashauri wenyeviti wa mitaa wanalipwa na Halmashauri...
Back
Top Bottom