majumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu Asiyejulikana

    Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani

    Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani. kwa wale ambao tunapenda music..... je kati ya hivi vitu ni kipi ni bora ? tuweze saidiana kama mtu anataka kununua music system ninunue kipi katika ya hivyo.
  2. FabNXTzqEtcgazfbjjfo

    Mnaenda katika "nyumba za ibada" zisizo na Ukweli

    Ukweli na Uongo Ili uvitambue kwa Urahisi vipe muda tu. Uongo una Tabia ya Kuja kwa Kasi sana na Unapotea kwa Kasi pia. Ila ukweli una tabia ya Kuja Kwa Mwendo wa Taratibu ila Hauna Mwisho wake ukweli utaendelea kuwa Ukweli Majumba mnayokimbilia ili kwenda kutatua matatizo yenu (kwa waganga...
  3. nduza

    Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
  4. M

    Mafundi umeme wa majumbani Dodoma

    Urban electrico istallati installation Company ni kampuni ya umeme inayo jishughulisha na kazi zote za design na istallation ya umeme wa:- 01. Nyumba na fances 02. Hoteli & bar 03 Disco and club 05 flame za maduka. E.tc U.e.i company tunajivunia kufanya kazi kwa ubora na hii ni kwa sababu ya...
  5. MR.NOMA

    Mgambo wavamia Majumbani Kimara Mavurunza na Kutishia,Kukamata watu na Kuomba Rushwa

    Habari za Leo ndugu zangu, Nimeumizwa na kusononeshwa Sana na tukio lililotokea Leo Majira ya saa 5-6 mchana Jijini Dar - Mtaa wa Kimara Mavurunza, mita chache tu ukitoka kimara DAWASCO kuelekea Kimara Mavurunza. Vijana wapatao watano wakiwa wamevalia magwanda ya kijani ambapo inasadikiwa kuwa...
  6. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Habari Wakuu! Kuna hii tabia ya Watu wanaoishi katika Nyumba zenye mageti, pindi wanapokuwa wanarudi majumbani mwao kuanza kupiga honi (wakati mwingine mfululizo) ili wafunguliwe mageti, hasa hizi nyumba ambazo mageti yake hufunguliwa na Mmojawapo wa mwanafamilia na sio Mlinzi. Hivi kuna...
  7. peno hasegawa

    TANESCO haina tena nguzo za kusambaza umeme majumbani

    Katika Hali isiyo ya kawaida ,Kwa mara ya kwanza tangu awamu ya tano,imetokea Hali isiyo ya kawaida ya kukosekana Kwa nguzo za kuunganisha wateja umeme Tanzania. Hakuna wilaya hata moja nchini insyotoa huduma ya kuwapatia wateja nguzo ili wananchi waweze kupata huduma ya umeme. Kila ukiuliza...
  8. S

    Changamoto wanazopitia wasaidizi wa kazi majumbani

    Wasaidizi wa kazi ( almaarufu wafanya kazi za ndani ) hawa ni watu muhimu sana katika familia na ustawi wake kwani huwapunguzia wanafamilia hasa baba na mama majukum ya nyumbani na kuwa na mawanda mapana ya kufanya shughuli zao za kiuchumi na maendeleo hata kama wana watoto nyumbani. Pamoja na...
  9. C

    Huduma za fumigation majumbani na maofisini

    Karibuni Sana Chawging investment Kwa huduma za fumigation. Tunapuliza dawa za viuatilifu kutokomeza wadudu hatarishi warukao na watambaao Kama mbu, mende, mijusi, mchwa, kunguni, viroboto, nyoka, panya n.k. Tunapuliza dawa majumbani, maofisini, mashuleni, kwene magodown, mashambani, kwene...
  10. A

    Jinsi ya kuanzisha Kampuni za usafi majumbani na ofisini

    Habari wapendwa, Nilikuwa naomba kujua zaidi kuhusu kampuni au watu wanaotoa huduma za usafi majumbani na ofisini. Jinsi ya kuanzisha, uendeshaji wake na changamoto zake.
Back
Top Bottom