Samadi ya maji ya majumbani ni mchanganyiko wa samadi ya kuku, kinyesi cha wanyama wa kufugwa katika hali zote mbili yaan unyevu au ukavu. Wanyama hao ni ng'ombe, nguruwe, mbuzi na kondoo pamoja na maji.
Viungo vyote hivi vina changanywa kwa pamoja na vinaweka kwenye chombo kama ndoo au kuroba...