Karibuni Sana Chawging investment Kwa huduma za fumigation.
Tunapuliza dawa za viuatilifu kutokomeza wadudu hatarishi warukao na watambaao Kama mbu, mende, mijusi, mchwa, kunguni, viroboto, nyoka, panya n.k.
Tunapuliza dawa majumbani, maofisini, mashuleni, kwene magodown, mashambani, kwene...