makabila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukiacha kasoro ya Uchawi Wanawake wa Kirangi ni wazuri kuwazidi wa makabila mengine yote hapa Tanzania.

    Wasalaam JF, Kwenye ukweli tuseme kweli tuache mazoea ya kubisha bisha. Wambulu, wamang'ati, Wanyaturu, Wachaga, Wameru, wamasai wameachwa mbali na warangi kwa uzuri, wana rangi, wanashepu, wanatrackoo, wako soft, wanakwanguliwa kisimilo chote hakibaki hata chembe. Ni hayo ukibisha ni wewe tu...
  2. Leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu

    Ndugu zangu kama itawapendeza leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu. Mimi ni mnyiramba natoka kule singidani Inye mbii kate.
  3. Dula Makabila aja na muonekano mpya wa kike

    Dula Makabila msanii maarufu wa Tanzania wa miondoko ya Singeli ameamua kubadilisha muonekano wake asili wa kiume na kuja na muonekano mpya wa kike akiwa amevalia wigi la kike pamoja na glasss ya kike. Dula anadai kuwa anafuata ushauri wa mpenzi wake aliye naye sasa na kila analomweleza basi...
  4. M

    Hivi kwanini makabila ya watu yaliyompakani/ mikoa kwa Nchi yetu wengi wako vizuri sana kichwani, majasiri, watafutaji na wasioyumbishwa?

    Chunguza mikoa yote ya mipakani utapata majibu hayo, hata uje kwenye uongozi utaona utofauti wakishika watu hawa..
  5. Hivi kuna Mtu Mwingine mwenye Bahati Mbaya na Sifa za Kiasili za Makabila ya Watani zake Kama Mimi?

    1. Wahaya: Wapenda Tamu zote za Kibaiolojia 2. Wanyiramba: Viburi sana 3. Waha: Wabishi tukuka 4. Wanyaturu: Wezi mno 5. Warangi: Wachawi 6. Wakerewe: Walafi 7. Wanyamwezi: Washamba sana Mzanaki Mimi nina bahati mbaya nao mno hawa Watani zangu kwani Wazanaki ndiyo Kabila pekee nchini...
  6. L

    Soka yaimarisha umoja miongoni mwa watu wa makabila mbalimbali mkoani Xinjiang, China

    Mchezo wa soka ni moja ya michezo jumuishi, ambayo uchezaji wake huruhusu watu tofauti, bila kujali rangi za ngozi zao, asili zao na hata makabila yao kujumuika na kucheza pamoja kwa furaha. Nguvu ya soka inaonekana zaidi kwenye maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu wenye asili tofauti, ambapo...
  7. Jamii na makabila mengi yanataratibu zao, hii ya kurithi watoto imekaaje?

    Inatokea mzazi amefatiki, tuseme baba anatokea. Baba mdogo anawarithi watoto kuwapa tumaini la uwepo na baba Yao mzazi, Wakuu ikiwa baba mdg anakiwa KERO je ukiamua kujua maisha yako, akidai atakulaani inahusu hapa?..
  8. Ndoa kwa mara nyingine Tena ya Dula Makabila na Mpenzi wake Naira wa Jua Kali

    Hello!! Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali Dullamakabila muda huu anatoka kwenye hotel yenye hadhi ya nyota tano Hyatt Regency na kuelekea kufunga...
  9. Je, ni wanawake wa makabila gani hapa Tanzania wakiolewa hawajihesabii kuwa sehemu ya kudumu ya ukoo na familia ya Mume?

    Hello JF family, Ndoa ni muunganiko wa familia na koo za pande mbili, katika pitapita zangu nimepata sikia yapo baadhi ya makabila wanawake wakiolewa hawqjihesabii kuwa sehemu ya familia na ukoo wa mume. Hata wakiolewa wana ukwao au unyumbani mwingi na kamwe hawana mguso thabiti na wa kweli na...
  10. Ndio najua leo kuwa bado kuna makabila Tanzania bara ukioa nje ya kabila unategwa na ukoo!

    Katika story za jioni baada ya kazi leo hii nimejifunza kitu kigeni nanyi ningependa kuwashirikisha. Amini usiamini hadi sasa kuna makabila watu hulazimika kuoana wao kwa wao si kwa kupenda bali ni kuogopa kutengwa na ukoo. Moja ya kabila hili ni Wasafwa, ni kabila kubwa Mbeya kwa kuwa na...
  11. Kipi hupelekea kabila la wamasai, mkoa wa mara na baadhi ya wachaga kuwa na ndevu chache

    Licha ya watu hawa wengi kubarikiwa urefu, miili yenye nguvu na ujasiri lakini kwenye suala la kuwa na ndevu kuna kipengere wapo wenye chache, wengine wanazo kwa mbali, wengine hawana kabisa. Hali hii huenda inatokea kwajili gani?
  12. Endapo filamu za 18+ zikiruhusiwa kutengenezwa Tanzania, wimbi kubwa la kuaibisha makabila halitaepukika. Hili lisije tokea kabisa!

    Sipati picha kwamba itokee na haya mambo yapewe vibali kwamba filamu hizi zinaweza kutengenezwa kama ilivyo kwa nchi zingine, hali inaweza kuwa mbaya sana kikabila. Nadhani itakuwa ni next level na itaathiri jinsi watu watavyokuwa wakionekana kwenye fikra za watu wengine kwenye suala zima la 6...
  13. Makabila ya Mara mnatia aibu: Wanaume kutahiriwa bila ganzi sio ushujaa, Heshima ya Mwanaume ipo kwenye Pesa na Power

    Dunia imepuga hatua kwenye nyenzo za utabibu kwenye kutahiri na hakuna mantiki ya kutumia mbinu za zamani zenye maumivu makali bila ganzi. kuahiri kwa kisu kwa zama hizi ni kama kuhangaika kutafutana majumbani wakati yupo zama za simu za mikononi. Hayo mambo ya kutahiriwa bila ganzi yaachwe na...
  14. Fahamu desturi za makabila kabla hujaoa/olewa

    Makabila hayatofautiani lugha pekee, ila mila na desturi pamoja na mahusiano kwenye ndoa zao pia huwa ni jamii inayojitofautisha na jamii ya kabila au makabila mengine. Kuchepuka kwa wanandoa kwa baadhi ya makabila ni jambo la kawaida na wala halileti misukosuko mikubwa kwenye mahusiano katika...
  15. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

    Wanabodi, Sisi binadamu tofauti tofauti tuna hobies mbalimbali, wengine wanapenda kutulia sehemu moja, wengine wanapenda kusafiri safiri. Mimi hobby yangu ni safari, na kula. yaani travelling na eating delicious meals na feasting on anything good! Yaani napenda sana kusafiri na kula vitu...
  16. Ushindi wa Yanga, Je Huyu nabii wa Taifa apuuzwe?

    Kuna jamaa nimemuona kwenye Whatsapp anajiita nabii wa taifa, Anasema ili Yanga na Simba zishinde inabidi Watoe kwake sadaka ya Milioni 20 kuombea ushindi. Sasa kushinda kwa Yanga, najiuliza nani Muongo kati ya nabii na Mungu/Muungu wake? Ifike wakati watu wa Mungu washughulike na mambo ya...
  17. BASATA, kosa la Dulla Makabila ni lipi akionesha Mchungaji akihukumiwa kwenda moto wa milele?

    Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani. Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali...
  18. Nabii Luthu pita huku ( Dulla Makabila Remix )

    Mpaka kesho bado sijamuelewa Nabii Luthu. Eti binti ZAKE walimlewesha KISHA akawaingilia bila kujua? Inawezekana kweli hiyo? Evidence says no. Tendo la ndoa limekaa kisayansi zaidi. Kisayansi haiwezekani KABISA kwa mwanaume kulewa kiasi cha kuto jitambua halafu at the same time mwanaume...
  19. Wimbo ya Dullah Makabila

    Unjani sabuwona, Kiukweli nimependa Ubunifu wa dulla makabila! Nyimbo imekamilika kila idara kila kitu alichoongea makabila kina uhalisia kabisa Nimependa idea ya dulla makabila kumtumia mchungaji pale ndipo aliponivutia! Kiukweli hawa wachungaji ni jibu kabisa hususani wachungaji tokea bara...
  20. Hivi kuna wanawake wa makabila mengine wanaowazidi waluguru na wazigua kuomba hela kwenye mapenzi?

    Hehehehee yaani nimekoma nimekomesheka, pamoja na ulevi wangu wa mauno, kuna umuhimu wa kujiuzuru haraka kwenye penzi la mluguru na Mzigua , sijui wana kibubu cha mufilisi kupitia mapenzi, kama jini hilo ni jini kipepeo kila dakika beby, mume, nikwambie kitu, mara sijui mara sijui shughuli a, b...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…