Imeabainishwa kuwa minorities (makabila madogo) ndio wamekuwa wakifa zaidi hii inaashiria kuwa makabila hayo ndio walioorodheshwa kwa wingi. Hii inaashiria pia kuwa huenda Putin analenga kupunguza idadi yao kwa kuwa wengi wamepelekwa vitani bila kuwa na uzoefu.
Mfano: Moscow [yenye watu...
A. MAENDELEO (Kujenga kwao)
Mtu ana mafanikio makubwa huku mjini ana nyumba ya kisasa, gari nzuri, kipato cha uhakika, n.k lakini huko kwao hali ni mbaya, Nyumba imekaa kimasikini mpaka aibu, bati lina kutu,ndani vitanda vimechoka, jikoni sufuria ni za kale, n.k… Huu ni uungwana kweli ? kuna...
Ninawasalimu kwa jina la chama pendwa CCM.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba hili jambo limenitafakarisha sana. Tukumbuke mara baada ya uhuru waasisi wa taifa walipambana sana kujenga umoja wa kitaifa kwa mbinu nyingi na juhudi kubwa.
Kiswahili kilitumika na kinaendelea kutumika...
Niko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi...
NB: Wachaga wameelimika ila niwaweke pembeni hawa hawategemei ajira pekee.
Tofauti na zamani tulivyozoea makabila yaliyoelimika na kutegemea ajira kwa asilimia kubwa kama wahaya kujazana maofisini kwa vyeti vyao, kwa sasa hali ni tofauti kabisa..
Zamani elimu ilikuwa inapatikana kwa uchache...
Agosti 25, wanariadha wanafanya maonesho ya kusafiri mtoni kwa mashua ya mwanzi mmoja kwenye Michezo ya 10 ya Watu wa Makabila Madogo ya Mkoa wa Guizhou, iliyofanyika katika wilaya ya Rongjiang.
kuna hii tabia inakera sana kuna baadhi ya watu katika makabila flani wakishaona ndugu / kaka / dada yao katoboa ama ndugu yao wa kike / dada yao kaolewa na mtu mwenye maendeleo si haba basi huenda kujazana huko. Wanakula na kulala hapo bila kazi maalum.
Nyuma ya hii tabia hakukosekani...
Elimu ni muhimu na wala sio ya kubezwa, Lengo kuu la elimu huwa ni kumkomboa mtu kifikra alafu ndio yanafata mengine, Kwa bahati mbaya hapa nchini jamii nyingi hasa makabila wameigeuza elimu iwe kwajili ya kuwatajirosha kupitia ajira. njia nyingine kama biashara wanapuuza.
zamani makabila...
Naomba huu uzi utumike kuelezea maneno ya aina moja yenye maana moja kwa makabila tofauti tofauti mfano neno kuigota linapatikana katika makabila ya wakurya na wasukuma na lina maana moja ya kushiba
Neno kuhangua lipo katika makabila mawili ya wa
sukuma na wakurya na lina maana moja ya kuwahi...
Morogoro ni mkoa mojawapo wenye MAKABILA mengi hapa nchini. Zifuatazo ni wilaya na MAKABILA yake
1. Halmashauri ya Morogoro: Hii wilaya maarufu kama Morogoro Vijijini, makabila yanayopatikana ni; Waluguru, Wakwere, Wakutu, na Wazaramo
2. Morogoro Mjini: Hapa wenyeji ni Waluguru.
3...
Sina maana ya ukabila ila elimu ndogo kwenye mambo ya mahusiano unapaswa kuzingatia.
kuna baadhi ya makabila yakioana ndoa huwa n
a furaha na kudumu zaidi. Hii inatokana na utamaduni na dini/imani wengi wa kabila fulani kuwa na vitu ambayo vinafanya mtu wa kabila lingine kufurahishwa nao...
Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli, wizi (hapa wapo hadi majambazi sugu), visasi, ulevi uliopindukia, n.k. lakini maswala ya ushirikina...
Baada ya mazishi hutangaza pale makaburini tanga ndg litakuwa kesho na siku hiyo watanyoa ndg,jamaa na marafiki.Swali langu kule kunyoa kuna maana gani?Wajuvi karibuni.
Katika kabila la wahaya kuna mila inaitwa "nchweke" ambayo marehemu huzungumza kupitia watu walio hai.
Je ni kabila gani unalolifahamu lenye mila kama hii
Yani unaambiwa huko Guang zhou wakinga wamejazana si mchezo aisee,
wapo ambao ndugu zao wana maduka kariakoo, huwa wanapelekwa huko ili kusaka machimbo ya bidhaa na kuzisafirisha.
wapo ambao familia zao hazina biashara ama zinataka kupanuka, kinachofanyika wanamchangia hela ya vibali na nauli...
nimekaa na wasukuma wanasema hayati alikuwa msukuma,nimekaa na waha wa Kakonko wanasema hayati alikuwa ni mtu wa kwao,nimezungumza na wazinza wa Butundwe(Lagos) wanasema hayati alikuwa mtu wao,ukizungumza na warongo,ukizungumza na wasubi wote wanasema hayati alikuwa mtu wao sasa najiuliza kisa...
Nchini Tanzania Kuna makabila Zaidi ya 120 (125 hivi)
Lakini kuna Makabila yenye watu zaidi ya milioni moja makabila hayo ni Wasukuma, Wanyamwezi, Wachaga, Waha, Wagogo, Wahaya, Wajaluo na Wamakonde.
Jambo la pekee kuhusu jamii zilizoishi na zinazoendelea kuishi Tanzania ni kwamba wakazi asili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.