Mzuka wanajamvi!
Hii dhana ya eti Cameroon majimbo mawili yanayoongea kiingereza North West na South West kujitenga kwasababu ya uonevu inasukumwa sana na Bambekee (Bamilekee).
Bambekee ni semi Bantuskabila maarufu sana Cameroon lenye maendeleo na elimu na pesa. Kwa kifupi ni matajari kama...
Unamuacha wife kwa wazazi wako ili ukazichange shilingi, unakaa miaka miwili ughaibuni, unarudi home unakuta mke wako ana mtoto, kazaa na baba yako mzazi.
Umeenda kuhemea chakula cha familia, umehangaika kutwa nzima, unarudi home unakuta mkuki umechomekwa nje, jamaa anajichapia mkeo,hajaleta...
Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha...
Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?
Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu wa Tanzania;
Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti (Mfano: Msukuma Vs Mzaramo) kisha ukaumia nafsi yako...
Naam .
Wakurya: mama bhoke rara chini nikurenge..
Wamasai: mama yoyo nipe ile kitu namesa mwensake..
Wahaya: mama koku infacti njoo tuperfom..
Wachaga: mama manka fungua kibubu nitupe shilingi..
Wapemba: mama alii panua paja mti wajaaa...!
Najua hapa wachaga nko wengi msinirushie mawe plz
Watu wawili wakazi wa kijiji cha Busegwe wilaya ya Butiama mkoani Mara wanaodaiwa kuwa ni wezi wa ng’ombe wamejikuta katika hali ya kula majani na kung’oa majani mithili ya ng’ombe baada ya kuiba ng’ombe wanaodaiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili.
ITV Tanzania
Wewe eneo limetoa Raia...
Huu ni utafiti(usiokua rasmi) juu ya uwingi wa wazungumzaji wa makabila yaani wale ambao kiasili ni wenyeji wa kabila husika pamoja na wale ambao wamejifunza makabila husika kutokana na mwingiliano wa shughuli mbalimbali za kimaisha.
1. WASUKUMA
-Idadi yao inakadiriwa kuwa zaidi ya milioni 10...
#Diamond na Ali Kiba: Almost every body know about them
1. Sugu ( Joseph Mbilinyi) - Mkinga
2. Professor Jay (Joseph Haule ) - Mngoni
3. Lady Jay Dee ( Judith Wambura Mbibo) - Mkurya
4. Inspector Haroun - Msukuma/ Mzaramo (Baba ake na Haruna marehemu Mzee Rashid Juma Kahena alilowea uzaramuni "...
Nimekaa nikawaza kuwa Serikali inaweza kabisa ikapiga ban pombe toka nje ya nchi na kuweka mkazo kwenye local brew zetu huenda na sisi tungeuza nje.
Tatizo tunadharau vya kwetu, haya mawine na mawhisky toka nje napo yalipotoka yametengenezwa na watu au familia fulani na kupewa uzito na serikali...
Heshima kwenu wapenzi wa jukwaa La MMU.
Naomba tushirikishane taratibu za kuzingatia pale unapooa binti wa kabila lako,Ama kwa kumtorosha au kuchumbia, .Hii itasaidia kwa washenga kujua wapi pa kuanzia pindi wanapopatanisha gharama za kutoa,mfano,mkoti wa baba,kitenge cha mama,dumu La...
Rais Magufuli amewataka watanzania wapendane na kuacha kubaguana kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi za kisiasa.
Dr Magufuli ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi jimboni Misungwi mkoani Mwanza.
Kadhalika Rais Magufuli amewapongeza wanaccm wa...
Kuna kitu kinanishangaza kuhusu wamasai. Ni kawaida kwa makabila mengine kulogana, kutuhumiana uchawi, kuibiana na kutapeliana.
Masai hivyo vitu havipo kwenye kabila yao najiuliza ni kwanini?
Mwenye jibu atusaidie.
Bhanamhala mhu le mhola hene?
Uzi huu mahususi wa kushare ama kushirikishana nyimbo zozote za kisukuma ili kudumisha mila na tamaduni zetu.
Kwa sababu wasukuma tunasifika kwa kuwa wapole na wakarimu. basi uzi huu unaruhusu pia makabila mengine kuweka nyimbo zilizoimbwa kwa lugha zao ili tuweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.