Tunaweza kuwa ni mipango ya Mungu ila haitoshi kuondoa imani kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa ndugu wa marehemu ambao waliwapumzisha wapendwa wao katika makaburi ndani ya Durban, Afrika Kusini.
Mvua kubwa ilinyesha jana Jumapili na ni mvua ambayo inadaiwa kuwa ni level 5 imeleta madhara...
Wadau mwaka jana mwanajf Suley2019 alileta habari hapa jf kuhusu mgogoro wa ardhi katika kijiji cha nyambogo wilaya ya rorya iliyopelekea mwili wa marehemu kutozikwa zaidi ya miezi 8.
- Rorya, Mara: Mgogoro wa ardhi wasababisha marehemu kutozikwa tangu Januari 20, 2021 mpaka leo
Naam kuna...
Habari wadau.
Binafsi ni mkristo. Ila nimependa sana utaratibu uliowekwa kwenye makaburi ya waislamu Tabata segerea.
Kanuni yao namba moja ambayo inakataza kujengea kaburi ni nzuri sana.
Shura ya Maimamu Tanzania
MAZISHI YA SHEIKH MWENYE UMRI MKUBWA ALIYEFIA GEREZANI
Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), amezikwa jana tarehe 20/12/2024, saa 11:00, jioni katika makaburi ya Nyang’andu kivule frema kumi jijini Dar es Salaam.
Sheikh Ulatule alikua gerezani kwa miaka 9...
Makaburi mengi yamegunduliwa yenye miili ya watu wengi walioteswa na kuzikwa pamoja kipindi Cha utawala wa Assad.
Tanzania pia kipindi Cha nyuma kulikuwa na wimbi la watu kupotea na wengine kukutwa kwenye Viroba, Lakini pia kukawa na matukio ya kihalifu Kibiti.
Serikali ikifanya uchunguzi...
Mkandarasi wa Mradi wa Upanuzi wa Barabara ya Ubungo-Kimara na barabara shikizi za Morogoro na Kawawa, Sichuan Road and Bridge Group Corporation Ltd (SRBG), anapenda kuutaarifu Umma kuwa anaendelea na ujenzi wa barabara inayopita katika makaburi yaliyopo mtaa wa ubungo kisiwani. Kufuatia ujenzi...
Makaburi yamebomoka mizizi imekatika,
Limebaki shina tu,
Zile zama za zaman zimeisha,
Kiburi na dharau zilikuponza,
Ulipenda kutumia nguvu kuliko akili,
Ulikataa maonyo ukakumbatia kiburi,
Ulimkufuru Mungu maksudi,
Utupu wako uko wazi kila mtu anauona,
Maji yaliyopoa ndo yenye nguvu...
Nb: Zingatia neno "mungu" nimeandika kwa herufi ndogo hivyo haimaanishi Mungu.
Ndugu zangu hapa tutaona anubis akiwa na kiongozi mkuu wa dhehebu fulani la dini pamoja na anubis wengine kuvalia mrengo wa upande wa pili.
a)Maana ya anubis.
Anubis, ancient Egyptian god of funerary practices and...
Kuna baraka nyingi unavyokuwa unatembelea makaburi wazazi au ndugu zako ambao uliwaona kwa macho yako mwenyewe walikuwa wanafanya mema hapa duniani.
Jitahidi kutembelea mara kwa mara ata kusafisha kaburi endelea kumuombea marehemu kwa Mungu wa mbinguni kuna baraka nyingi.
Peace, (Mods naomba msibadili tittle ya uzi huu pia nitashukuru kama hamta uunganisa. Asante)
Wakuu, (hasa vijana) ardhi bado zipo nyingi sana maeneo tofauti na za kila aina, unapotaka kununua ardhi KAMWE usinunue ardhi yenye makaburi. Wenye makaburi wana haki na kwa hakika watakuja...
Mwamposa akishindwa kuwaponya basi tumwone tapeli kama matapeli wengine.
Gwajima apelekwe makaburi ya Kinondoni akishindwa kufufua wafu aporwe hadi ubunge maana atakuwa tapeli.
Tusiandikie mate wakati wino upo, tuna hospitali na makaburi lukuki wakafanye uponyaji na ufufuo huko waache kucheza...
Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi...
Panafahamika kama peace valley huko Iraq.. Unaweza ukadhani ni mji kumbe hapo kuna kabauri zaidi ya million 5.
======
The world's largest cemetery, in Iraq's Shi'ite holy city of Najaf, is expanding at double its usual rate as Shi'ite militias bury their dead from the war against Islamic...
Habari waungwana!
Sisi tuliowapumzisha wapendwa wetu hivi karibuni makaburi ya Kinondoni tumeona ni jinsi gani ilivyo ngumu hata kupita katikati ya makaburi mengine. Kiufupi eneo lile limejaa halipaswi kuendelea kuwa sehem ya kupumzisha wapendwa wetu.
Ushauri wangu-
1. Serikali ifunge eneo...
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.
Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na...
Maana maneno haya ya wazawa yalisikika wakati DP weldi walipokuwa wanapingwa kuendesha Bandari , zikatoka hadithi kwamba , Kwanza Bandari wenyewe ni , wachomvi .
Neno makaburi wa Tanzania ni wazawa yapo kwenye Hotuba ya Mwl Nyerere kuhusu Raisi tunayemtaka, na matatizo ya Muungano. Na Ubaguzi...
Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu - Makambako na taratibu za malipo zitaanza baada ya kuidhinishwa na Mthamini Mkuu wa Serikali.
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali...
Hazina ya maandiko yaliyoko JamiiForums ni kubwa sana.
Kama ni utajiri wa mawazo, fikra, ushauri basi nitaupata kwenye maandiko hayo.
Nitakuwa natoa updates katika nitakayokuwa nikijifunza Ili kwa watakaopenda wakajifunze pia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.