makaburi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nafaka

    Makaburi yenye kina kifupi - Mauaji ya Familia ya MCStay

    Hiki ni kisa nilichoanza kukifuatilia mwaka 2012, japo familia ilipotea mwaka 2010 na haikujulikana wamekufa au wametoroka hadi mwaka 2013 ambapo mabaki ya miili yao yalipatikana yakiwa yamezikwa jangwani. Baada ya uchunguzi Bw. Charles Merritt ambaye alikuwa rafiki wa Joseph Sr alipatikana na...
  2. mr_stev001

    Ni sawa kujenga maeneo yenye makaburi?

    Nina swali moja kama sio mawili. Eneo lililotengwa kwa ajili ya maziko ya watu (makaburi) ni sawa Serikali ama mtu binafsi kupatumia kwa shughuli za ujenzi kwa maana ya kusambaza makaburi bila utaratibu wowote?
  3. DR SANTOS

    Simulizi ya kichawi: Makaburi ya wasio na hatia (The Graves of The Innocents)

    MAKABURI YA WASIO NA HATIA (GRAVES OF THE INNOCENTS)- 1 JINA langu naitwa Togolai Mahimba, ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba wa baba yetu, Sinai Mahimba ambaye kwa sasa ni marehemu. Baba yetu alifariki miaka mitatu iliyopita baada ya kuugua ghafla. Kifo chake kilitawaliwa na utata mkubwa...
  4. MSAGA SUMU

    Hatimaye bilionea kijana Thobias Bulugu azikwa makaburi ya Mahina

    Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina. Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa...
  5. BARD AI

    RC Makalla aagiza shule inayopakana na Makaburi ijengewe uzio ili kuwapa amani Wanafunzi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kinondoni, Hanifa Suleiman kujenga ukuta kuzunguka Shule ya Msingi Boko Mtambani ili kuleta amani na usalama shuleni hapo. Shule hiyo imejengwa karibu na eneo la makaburi yanayodaiwa kuwa na matukio ya mauzauza...
  6. Mohamed Said

    Kaburi la Tewa Said Tewa Makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni

    KABURI LA TEWA SAID TEWA MAKABURI YA MWINYIMKUU MAGOMENI Tewa Said Tewa kwake nililokuwa mtoto wake mwanae kabisa. Mzee Tewa Said Tewa akijuana na baba yangu toka udogoni na ujana wao. Mzee Tewa akaniamini kama baba anavyomwamini mwanae. Mzee Tewa alipojua naandika kitabu cha historia ya...
  7. FRANCIS DA DON

    Napendekeza kuanzishwa kwa bima ya makaburi

    Hoja hii naitoa kwa ufupi mno. Ni kwamba haiwezekani mtu anaacha milioni 100 kwenye akaunti benki, majumba, magari nk; halafu ukienda kwenye kaburi lake utasema ni mzoga wa mbwa umefukiwa hapo. Nimemaliza na sitaki maswali.
  8. GENTAMYCINE

    Makaburi ya Waislamu ya Kawe Mzimuni yameshajaa Mamlaka itenge Eneo jipya ili 'Marehemu' wapumzike kwa Kujinafasi

    Kinachofanyika sasa katika Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni siyo Uzikaji wa Staha bali ni kutupa tu Maiti kisha Kuifukia na Waombolezaji Kutawanyika. Ni kawaida kwa Muombolezaji akienda Mazikoni hapo Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni kukutana na Mifupa ya Marehemu na hata Mafuvu yao kutokana...
  9. ndandambuli

    Je, inawezekana ukahamisha makaburi na yasitokee madhara?

    Nimenunua kiwanja pembeni kina makaburi matatu, ni kipande cha mita tatu kwa tatu, sasa nawaza niyahamishie sehemu nyingine huko ili nipate nafasi kubwa zaidi ya kiwanja, nimekuja kwenu ili nijue kama kuna madhara yoyote au la.
  10. P

    Yalihamishwa makaburi na miili ndani, sembuse hawa Wamasai hai na nguvu zao

    Binadamu tunapenda mno kulalamika, haswa sisi tunaojulikana kama raia wa nchi ya Tanzania. Huwa hatuna dogo hata siku moja ni mwendo wa malalamiko. Zipo video zinazozunguka mitandaoni zikiwaonyesha wamasai wakihama kwa ridhaa yao wakielekea makao mapya huko Handeni. Wamejengewa nyumba na...
  11. Restless Hustler

    Ni kweli kwamba nisipoenda kuyasafisha makaburi ya wazazi na mababu nitapata laana au mikosi kwenye kazi zangu?

    Habari za muda huu! Kufuatia uzi wa tycoon wa fasihi ndugu ROBERT HERIEL alioeleza sababu za watu wengine kuishi umri mrefu na wengine umri mfupi, kuna nukta alieleza kwamba tunapaswa kuwaheshimu wazazi hata kama mameshakufa! Na akaeleza kwamba tutawaheshimu kwa kutembelea makazi yao(...
  12. YEHODAYA

    Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

    Katika waraka uliosomwa live na Pope Francis Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine . Amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu. Source: skynews ikimwonyesha Pope akisoma statement ========= Pope Francis directly addressed Russian President...
Back
Top Bottom