makaburi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Makaburi ya Viongozi: Jeneza hugusana na udongo au ndani huwa kunakuwa na uwazi uliofunikwa na zege kwa juu?

    Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k. Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo...
  2. MK254

    IDF yagundua handaki na ofisi ya kijeshi chini ya makaburi

    Yaani hawa magaidi wa dini walitumia nguvu nyingi sana kujipanga, dadeki.. Hawa walipaswa wapigwe carpet bombing tuanze upya, ingekua Mrusi au Mchina anapambana na hawa, angepiga moja tu na tunasahau hizi issue, dunia inapiga makelele mwezi mmoja kisha tunafanya mengine. Israel wanatumia nguvu...
  3. Webabu

    Israel yafukua makaburi kutafuta mateka.Hakuna aliyepatikana mpaka sasa

    Jumla ya maeneo 16 ya kuzikiana watu huko Gaza yamefukuliwa na jeshi la Israel kwa kile wanachokiita kutafuta mateka. Pamoja na kufukua makaburi hayo vile vile katika baadhi ya maeneo wamejenga kambi zao za muda juu ya makaburi hayo. Kitendo hicho kimewashangaza watetezi wa haki za binadamu...
  4. Mto Songwe

    Sherehe ya kufagia makaburi " qingming festival" wachina wana mambo!

    Qingming Festival hii ni sherehe maalumu inayo adhimishwa na jamii ya kichina ulimwenguni kote hasa katika maeneo/nchi zenye jamii kubwa ya kichina mfano China, Indonesia, Thailand, Singapore, Malaysia, Vietnam n.k Kwa lugha ya kiswahili sherehe hii unaweza kuitambua kama sherehe maalumu ya...
  5. Kingsmann

    Makaburi yaliyojaa yageuzwa dili mjini

    Kwa mujibu wa gazeti la nipashe la leo, limeripoti kwamba japokuwa makaburi ya Kisutu, Kinondoni, Magomeni na Sinza kutangazwa na serikali kuwa yamejaa toka mwaka 2018, lakini yameendelea kutumika mpaka sasa. Kinachofanyika ni unawapa tenda vijana maalumu wanaohusika kuchimba makaburi kwenye...
  6. Mtafiti77

    Makaburi ya Kisutu hayajai?

    Habari ndugu, Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai? Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu...
  7. Chief Kumbyambya

    Makaburi yameinuka wazee

    Wazee Jana usiku nimeota ndiyo makaburi yote nchini yameinuka juu huku yakipiga Amapiano ila sikujali. Lakini kama nilivyesema hapo awali, usikubali kuteketea hata kidogo Tena Kwa mambo ya hovyo hovyo. Hivi unajua ni wangapi wamepotea mpaka sasa? Hakika nakwambia siku utakayojua utalia na...
  8. M

    UN: Ghaza imegeuka eneo la makaburi ya watoto kufuatia hujuma ya Israel

    Nov 01, 2023 12:18 UTC Eneo la Wapalestina la Ghaza limegeuka kuwa makaburi kwa watoto kwani maelfu wameuawa kufuatia mashambulizi yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, huku zaidi ya watoto milioni moja wakikabilwa na uhaba wa mahitaij muhimu na maisha yao ya baadaye yakiwa mashakani...
  9. Vincenzo Jr

    Makaburi ya Nungwi- Nungwi graves

    MWANGWI wa vilio na simanzi kutoka kwa watu waliopoteza maisha baada ya meli kuzama kwenye mkondo wa bahari wa Nungwi, Zanzibar, uliambaa kwenye maji na kwenda kugota kwenye ukuta wa chini ya bahari, mahali palipokuwa na maelfu ya makaburi yaliyochongwa kwenye mwamba mgumu kuhitimisha safari ya...
  10. KING MIDAS

    Makaburi kuhamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege JNIA

    Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA). Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
  11. R

    Maafisa Polisi wawanyanyasa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiripoti maandamano katika makaburi ya Langata

    Tukio hilo limetokea wakati waandishi wa habari wakirekodi tukio la wafanyakazi wa makaburi ya Langata kugoma wakilalamika kucheleweshewa mishahara yao, ambapo polisi waliwataka waandishi wa habari waondoke kutoka eneo la tukio. Shughuli za mazishi zilisitishwa katika makaburi hayo, baada...
  12. Kiplayer

    Siungi Mkono Kujengea makaburi

    Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo. Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
  13. Balqior

    Chupa ya chai na vikombe vya chai juu ya makaburi ni uchawi wa aina gani?

    Nilipita njia ya makaburini, nikakuta kwenye baadhi ya makaburi kwa juu kumewekwa chupa ya chai na vikombe vya chai, kuna moja ya wazee waliopo hapo maeneo ya karibu aliniambia hizo chupa na vikombe unaona vimechoka ila kwenye ulimwengu wa roho hizo ni chupa mpya na vikombe vipya kabisa...
  14. OLS

    Tanzania ni nchi moja, kwanini Prof. Mbarawa aseme aliyosema kuhusu mkataba wa bandari

    Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji katika bandari. Sababu ya kutolewa taarifa hii ni kwamba...
  15. USSR

    Kanisa la ajabu misungwi mwanza limefungwa huku makaburi yakitafutwa

    Mchungaji huyu mwenye upako Kama yule Mackenzie wa Kenya anayelaza wagonjwa zaidi ya miambili kwa gharama za elfu sitini akiwa na wagonjwa mahtuti waliotoroka mahospitalini amekamatwa na kanisa kufungwa. Wagonjwa wamerudishwa hospitalini na wengine kuamliwa kuondoka huku taharuki ya makaburi...
  16. M

    Ni halali kujengea makaburi?

    Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi? Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
  17. BARD AI

    Polisi wabaini maiti nyingine 29 kwenye Makaburi ya Shakahola, miili yafikia 179

    Polisi nchini Kenya Ijumaa wamepata miili 29 zaidi katika Msitu wa Shakahola, idadi kubwa zaidi ya kila siku tangu uchimbaji wa kaburi uanze mwezi uliopita, ikiwa ni uchunguzi dhidi ya sakata la Mchungaji Paul Mackenzie. Awamu ya pili ya uchimbaji wa miili ilianza wiki hii, baada ya timu...
  18. Nshomile wa Muleba

    Ulishawahi kukutana na kisanga wakati unapita/kukaa karibu na makaburi

    Kuna wakati ndugu(mjomba) yangu alinunua kiwanja maeneo ya Morogoro na akaanza kujenga guest house kwa haraka sana mpaka ikakamilika na wakati huo nimemaliza form 6. Basi anko akasema kuwa niende nikasaidie kazi hapo guest na atakuwa ananilipa (usimamizi) Banaaa kumbe ile guest ilijengwa juu...
  19. BARD AI

    Jeshi la Polisi lawataja Matajiri wa Singida kuhusika na ufukuaji Makaburi

    BAADHI ya matajiri wanadaiwa kuwezesha mauaji ya watu, wizi wa vitu na viungo vya maiti vinavyofanywa na wanaofukua makaburi, wilayani Manyoni katika Mkoa wa Singida. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, amesema hayo akizungumza na vyombo vya habari mjini Singida, kwamba...
  20. BARD AI

    Singida: 6 Wakamatwa kwa tuhuma za Mauaji na Kufukua Makaburi

    WATU sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida wakihusishwa na mauaji ya watu, ufukuaji wa makaburi na kuchukua viungo, baadhi ya vitu vya maiti katika maeneo tofauti wilayani Manyoni. Imeelezwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, leo Machi 28, 2023 kuwa...
Back
Top Bottom