Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kinondoni, Hanifa Suleiman kujenga ukuta kuzunguka Shule ya Msingi Boko Mtambani ili kuleta amani na usalama shuleni hapo.
Shule hiyo imejengwa karibu na eneo la makaburi yanayodaiwa kuwa na matukio ya mauzauza...