makamanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makamanda wa Hamas na Hizbullah waache kutumia simu za satellite za Ellon Musk

    Kufuatia minara yote ya simu na vinu vya umeme kubomolewa huko Gaza,Ellon Musk kwa kile kilichoonekana malengo ya kibiashara alisema ataunganisha jimbo hilo na mtandao wake wa mawasiliano wa star link.Israel ikamshutumu sana na yeye akarudi nyuma. Hata hivyo watu wenye ndugu zao nje huko Gaza...
  2. M

    Zitto Kabwe, Mwanasiasa aliyerushiwa mishale mingi na "makamanda" akapambana ndani ya upinzani huku wale waliokuwa wakijifanya makamanda wakienda CCM

    Wahenga walisema. Umdhaniaye siye kumbe ndiye, na umdhaniaye ndiye kumbe siye Hawa wafuatao watu walikuwa wakiwaona wapinzani kwelikweli huku Zitto akitukanwa kuwa ni CCM 1. Petrobas Katambi 2. Lijualikali 3. Silinde 3. Peneza 4. Mashinji 5. Peter Msigwa Wengine wakasaliti chama waziwazi...
  3. Pre GE2025 Uchaguzi 2025 hatutapata wabunge wengi kama tunavyotarajia. Mbowe kawaingiza mkenge Makamanda wasiotambua

    Eti maridhiano. Acheni utapeli. Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa nafasi za wabunge. Huu mkataba ni kati ya Mbowe na CCM sio kati ya Chadema na wananchi. Makamanda...
  4. Makamanda kadhaa wa HAMAS wajisalimisha kwenye hospitali ya Shifa

    Huwa mnaambiwa mjitoe mhanga ili muwahi mabikira 72, ila makamanda wanaogopa kufa wanakamatwa hai.... The IDF announced on Thursday that in its four-day operation in Shifa Hospital in northern Gaza, it has now killed around 140 terrorists from Hamas and Islamic Jihad, as well as arrested around...
  5. Iran yaanza kurejesha nyumbani makamanda wake walio nje maana wanasakwa na Israel kwa mbinu zote

    Yaani kila anayejulikana alipo anawahishwa kwa mabikira.... Iran's Revolutionary Guards have scaled back deployment of their senior officers in Syria due to a spate of deadly Israeli strikes and will rely more on allied Shi'ite militia to preserve their sway there, five sources familiar with...
  6. Pre GE2025 Makonda asema pesa za kujenga ofisi ya CHADEMA zimetolewa na Rais Samia

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema. "Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na...
  7. Pre GE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024 CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI Mkuu wa...
  8. Makamanda wa Jeshi la Israel wamekiri Kushindwa na Hamas: - NYT

    Makamanda wa IDF: Haiwezekani kuwashinda Hamas na kuwaokoa mateka - NYT Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa Google. Malengo mawili ya kuwaokoa mateka na kuwaangamiza Hamas hayawezekani, Majenerali wanne waandamizi wa IDF waliliambia gazeti la New York Times katika makala iliyochapishwa...
  9. Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi. Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024...
  10. Picha: Mwamba wetu Makamanda

  11. Picha: IDF wameua makamanda wanne wa HAMAS, wamesalia watatu ambao wameamrishwa wajisalimishe

    Hawa hapa wameshawahishwa kwa mabikira.... The IDF has successfully targeted four out of seven senior Hamas brigade commanders, the Israeli military's Arabic spokesperson Avichay Adraee wrote Thursday on X. "The IDF continued to dismantle Hamas's Gaza brigades," Adraee wrote...
  12. Makamanda wenzangu, Mbowe hajafurahiswa na hukumu ya jaji Mkeha. Anachowaza ni ruzuku tu. Pia nyuma ya pazia ana jambo..

    Ill will ya mtu huonekana kwa vitendo tu. Tokea hawa Covid 19 wawekwe Bungeni kwa nguvu na Ndugai. Mbowe anaonekana kufurahia jambo Ndio maana hata hukumu ya jana kimtindo hajaifurahia. Mimi nimeona demeanor yake. Anachowza ni ruzuku tu.
  13. Hatimaye HAMAS yakiri kuuawa kwa makamanda wake watatu waliouliwa ndani ya handaki

    Mpaka sasa sijaelewa HAMAS walikusudia kupata nini kwenye hivi vita, wamepoteza kwa Gaza kugeuzwa shamba, wamepoteza makamanda na wapiganaji wengi sana, Wapaletsina wameuawa zaidi ya 15,000 na sasa wapo kwenye harakati za kurudisha mateka almradi Israel ipunguze mapigo na wananchi wapate...
  14. M

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  15. Msipindishe maneno, Makonda amemaanisha kuwa Mbowe na wenzake ni vibaraka wa CCM, huku sisi makamanda tukiumia

    Naona mnataka kujitoa fahamu na kutaka kupindisha maana. Mnataka kuficha ukweli kuwa Mbowe ni kibaraka wa CCM? Hamjui kuwa Lipumba ni kibaraka wa CCM? Zitto Kabwe ni kada wa CCM. Mtoa taarifa ni informer. Ndio Makonda kaweka wazi. Makanda wenye uchungu na nchi yetu tunaumia. Angalia mlinzi...
  16. B

    Hotuba ya Lissu Marekani - Part B

    Hapa ni sehemu ya hotuba nzito ya TAL mwana halisi wa nchi hii: "Umoja wetu - nguvu yetu." 𝗕. π—žπ—¨π—›π—¨π—¦U 𝗛𝗔π—₯π—”π—žπ—”π—§π—œ 𝗑𝗔 π—žπ—¨π—žπ—’π—¦π—’π—Ÿπ—˜π—ͺA CHADEMA Tunahitaji umoja makundi yote bila kubezana Lazima tujitofautisha na na kauli zinazofanana na CCM, ukikosolewa unasema umetukanwa, unakuwa na chawa wa...
  17. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura alivyofanya mabadiliko ya Makamanda wa Mikoa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa mikoa kwa lengo la kuboresha ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi.
  18. Makamanda suala la DP World mmelipeleka kasi kiasi cha kuwagawa watu na kukosa umoja kwenye hili jambo

    Makamanda swala la DP World lilianza vizuri kwa kujadili kwa hoja na staha kubwa kiasi cha watu ku-concetrate kwenye hili swala moja tu la DP World na IGA. Ghafla speed ikaongezeka kwa kasi na kuanza kumuhusisha Magufuli na mkataba wa bandari, wakati ni ukweli ulio wazi Magufuli wapo...
  19. Geita: CHADEMA yapata pigo, mmoja wa Makada na Makamanda wakuu ahamia ACT Wazalendo

    Katibu wa Baraza la Wazee CHADEMA Mkoa wa Geita, Ndugu Dominic Masusu amejiunga na ACT-Wazalendo. Masusu amepokewa leo Juni 4, 2023 na KC Zitto Kabwe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Geita Mjini. Sasa ACT kimbilio la wote.
  20. Kumbukizi: Makamanda wa CHADEMA wakipigwa Tanganyika jeki baada ya kuleta ujeuri

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…