Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa.

kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya hiyo kazi wanagoma. Huku Iran ikihangaika kwa kujaribu kuanzisha tena michakato hiyo iliyoharibiwa.

Screenshot_2025-06-27-08-07-49-902_com.instagram.android.jpg
 
Kamwe Siwezi heshimu au kuamini mtu anaekataa kula nguruwe lakini anaenda kuoa binti wa miaka 12 na anaua mkristo /myahudi ili apate mademu 72 siku akifa
Na anayetaka heshima yako au uaminifu wako ni nani??? Hulazimishwi kumhwshimu mtu Kwa kigezo Cha imani yake au vinginevyo kwani malezi yanatofautiana. Pia naamini una chuki binafsi ambazo hazina faida Kwa kijana wa kiume kama wewe, labda kama siyo me.
 
Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa.

kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya hiyo kazi wanagoma. Huku Iran ikihangaika kwa kujaribu kuanzisha tena michakato hiyo iliyoharibiwa.

View attachment 3385275
Sasa wewe haujui kama huo ni Ugaidi?

Inasikitisha kuona Netanyau amegeuka kuwa kubwa la magaidi
 
Back
Top Bottom