Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

Mama yangu ni Bibi yako muheshimu mi ni kibenten wa Mamaako
Mama yako ni mtamu sana

Kumbe Bba yako alifaidi sanaaaaaa

Mwambie afute call logs zenye namba yangu bab ako asione
 
Israel hawana miujiza ya kuwajuwa walipo, shida ni kwamba ndani ya Iran kuna Wasaliti ndio wanaotoa information kuuza nchi yao lakini kama unavyoona wakikamatwa huwa wanafungwa na mabomu yakaelekezwa huko huko Uyahudini

Hiyo ndo INTELEJENSIA SASA. UNADHANI INTELEJENSIA INAKUAJE? WATU WANAOTA?
 
Kamwe Siwezi heshimu au kuamini mtu anaekataa kula nguruwe lakini anaenda kuoa binti wa miaka 12 na anaua mkristo /myahudi ili apate mademu 72 siku akifa
Wayahudi unaowaunga mkono nao nguruwe kwao ni haramu kama ilivyo kwa waislam
 
Hivi munapata wapi akili ya kusema Irani ameshinda? Wairani 600 wanekufa waisrael 24, Irani wamekufa makamanda wa jeshi na wanasayansi huo ushindi uko wapi?
 
Sasa wewe haujui kama huo ni Ugaidi?

Inasikitisha kuona Netanyau amegeuka kuwa kubwa la magaidi
dawa ya gaidi ni kupambana nae kwa mbinu za kigaidi. Na uzuri wa Mossad wanajua mbinu za kupambana na magaidi hasa yale yenge mlengo wa kidini
 
Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa.

kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya hiyo kazi wanagoma. Huku Iran ikihangaika kwa kujaribu kuanzisha tena michakato hiyo iliyoharibiwa.

View attachment 3385275
Ndio maana yule babu anaongelea shimon kama panya
 
Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa.

kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya hiyo kazi wanagoma. Huku Iran ikihangaika kwa kujaribu kuanzisha tena michakato hiyo iliyoharibiwa.

View attachment 3385275
Hii ndio maana ya jeshi bora na lenye nidhamu.

Allah azidi kuwabariki inshallah
 
Back
Top Bottom