makamba

  1. Wizara ya Nape na Wizara ya Makamba zote zinawatesa wananchi

    Wizara ya Nape kila kukicha gharama za bando zinazidi kupaa na Watanzania wanajua. Wizara ya Makamba kila kukicha inaongoza kwa kukata nishati ya umeme na kwalo vitu kama radio, TV, freezer na vitu vingi fanani navyo vinaharibika kwa kuungua na hata biashara zitegemeazo umeme zinaharibika...
  2. Hicho kikundi chenu dhidi ya January Makamba hamtafika popote

    1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba 2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba 3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na...
  3. Ni Makamba au Mwigulu ambao wameanza kumtesa Mama?

    Chalamila anaropoka ambayo ametumwa. Haya mambo tunaomba sana. Mwacheni Rais jamani. Huyu ataendelea kuwepo mpaka 2030 so mnaoanza kutaka kufanya mchakato komeni kabisa. Chalamila anatumika kufikisha ujumbe kwa watu. Bahati nzuri mama yeye hawezi zungumza sababu ya upole na hapendi maneno...
  4. January Makamba akigombea Urais nitamnadi mpinzani wake nchi nzima, Naendelea kutunza ushahidi halisi

    Naona kuna mambo yanaendelea ndani Ya inchi bila watu kujua lililo nje Ya pazia Someone is hunting it for real by hooks and crooks! Mi ni miongoni mwa watu wanaokataa jambo lolote la kujinga haijarishi nani analifanya na yuko Chama gani, Kuna ma tycoon nyuma ya Jamaa mwingine Jana kaanza...
  5. Waziri Makamba: Kila nyumba itakuwa na mtungi wa gesi

    Serikali imesema ina mikakati ya kuhakikisha kila nyumba inakuwa na mtungi wa gesi ya kupikia na kuandaa mifumo mbalimbali kupitia uvumbuzi wa kibiashara ikiwemo kutumia teknolojia ya kupima gesi kidogo kidogo. Hayo yamesemwa leo Ijumaa, Oktoba 21, 2022 na Waziri wa Nishati, January Makamba...
  6. Eti Makamba nae ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta! Adai hana majibu

    Waziri wa Nishati, January Makamba ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta vinavyojengwa nchini huku akiwaomba NEMC na Ewura taarifa imekuaje? Kama Waziri mwenye dhamana hana majibu tukamuulize nani? Vituo vimeanza kujengwa mpaka vimemalizika na vinafanya kazi hadi leo hajui kwanini...
  7. DOKEZO Waziri Makamba fuatilia kwa makini miradi mingi ya REA wakandarasi wanatumia waya za 25mm badala ya 50mm kwenye service line

    Mh Makamba sijawahi kuona wafanyakazi wako wazembe mkiwawajibisha kwenye ziara zako zakusikiliza kero za wananchi nafikiri ndio sababu wakandarasi wakishirikiana na wakaguzi Kabla ya miradi ya REA kukabidhiwa kwa TANESCO wanaendelea kupiga pesa. Mh makamba huwa nafuatilia sana makala zenu za...
  8. Watanzania 33,000 wanakufa kila mwaka kwa Moshi wa Kupikia

    Waziri wa Nishati January Makamba ametoa takwimu hizo wakati wa Semina ya Kuwajengea Uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya Nishati Mbadala Nyumbani. Waziri Makamba ametoa taarifa hiyo akiwa nje ya nchi ambapo ametaja madhara mengine yanayosababishwa na Moshi wa Kupikia kuwa ni Watoto...
  9. Makamba: 89.7% ya wananchi bado wanatumia Kuni na Mkaa kupikia

    Akizungumza leo Oktoba 12, 2022 jijini Dar es Salaam Waziri wa Niashati, January Makamba amesema, “Kupika ni moja ya tukio pekee linalounganisha watu wa hali zote kuanzia wa juu, kati na chini, lakini Watanzania wengi hawajui na wala hawahoji aina ya nishati inayotumika katika kupika vyakula...
  10. S

    Uteuzi wa Makamba kama Waziri wa Nishati na aliyofanya alipoteuliwa umenifanya niwakataze watoto wangu kuchukua masomo ya Sayansi

    Kuna mengi yalisemwa kuhusu January kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, mojawapo likiwa ni kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa wazee kwa mama kumpa January wizara hiyo nyeti kama chaguo lake. Sasa kwangu mimi hilo nililiona lina walakini sana. Sina tatizo na Makamba kuwa waziri, lakini...
  11. N

    Makamba, Mwigulu au Nape watakuja kuwa ma Rais wazuri sana!

    Changamoto kubwa, nionavyo mimi, ya nafasi ya uraisi ni kusita kufanya maamuzi kutokana na labda kuogopa lawama na kelele kutoka kwa wananchi na wadau wengine. Makamba, Mwigulu na Nape; Hawa matusi yameshamalizika ya kuwatukana kabla ya kufanya lolote, sijui kama kuna tusi la kuwatukana...
  12. January Makamba kumrithi Majaliwa

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa. Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu?
  13. Waziri wa Nishati January Makamba soma na utupatie tafsiri ya interview ya PURA

    Tanzania kuna vituko , tunaomba uelewa wa matokeo ya mitihani huu na idadi ya waliochaguliwa. PURA wamefanya vituko kupitia Tume ya Ajira, majina kujirudia na watu kulingana maksi. Tume ya Ajira ifutwe tu. INTERVIEW NO. Nyingi zimefanana na number moja kuchaguliwa Mara Tatu Tatu
  14. Waziri Makamba: Serikali kuanzisha ofisi maalum ya mradi wa LNG, mazungumzo kukamilika Disemba

    Waziri wa Nishati, January Makamba, ametembelea ofisi za Kampuni ya Shell, nchini Uholanzi, na kukutana na kuzungumza na viongozi wakuu wa kampuni hiyo kuhusu masuala mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa mradi wa LNG nchini. Katika mazungumzo hayo na Bwana Cederic Cremers, Makamu wa Rais...
  15. M

    Festo Sanga wewe ni mbunge mzuri sana usijiingize kwenye mambo ya Makamba yatakuchafua

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga achana na mambo ya kushabikia mambo yasiyoeleweka ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba yatakuharibia sifa uliyoanza kuijenga kwa wananchi wako. Jana wakati mjadala unaendelea kuhusu gharama za kuunganisha umeme, ulipost kwenye akaunti yako ya Instagram ukiituhumu...
  16. M

    Wabunge Festo Sanga na Subira Mgalu mbona mnahangaika kumtetea Waziri Makamba kauli ya Umeme Laki 8?

    Siku ya leo mitandao yote ya kijamii inazunguka Clip ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ikisema kuanzia sasa gharama ya kuunganisha umeme iwe mjini iwe kijijini gharama ya kuletewa umeme ni laki 8. Clip hiyo imetokana na sehemu ya mahojiano ya ITV katika Kipindi cha Dakika 45 Makamba...
  17. P

    Ni wakati wa kususia taarifa zote kutoka kwa Waziri wa Nishati January Makamba

    Tunaanzaje kuziamini taarifa zake huyu waziri na wakati kipindi tu anaingia hakukuta mkatiko katiko wa umeme, Kwa yeye ndio tukaanza kushuhudia madhila hayo, akajitetea kusema Hoooo! Mitambo ilikuwa haifanyiwi ukarabati, hivyo imechoka kabisa, nahitaji mnipe siku kumi zikarabatiwe! Kutoka...
  18. Kama Makamba atatenda anayoyazungumza kuhusu umeme ni jambo la muda, tutarajie umeme bora siku za mbeleni

    Nianze kwakusema mimi ni muhanga wa huu umeme wa Tanzania kwani nilishawahi kupata hasara ya mamilioni mara kwa mara kwasababu ya low voltage. Mimi ni mjasiliamali mwenye kiwanda kidogo hivyo kutokana na umeme kuwa mdogo ilikua inalazimu kuwasha machine mojamoja kwani mbili kwa wakati mmoja...
  19. Kwanini aende Makamba na si Jaffo?

    Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
  20. Makamba: Tanzania inahitaji TSh. Bilioni 345 kukabili Tabia Nchi

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Tanzania inahitaji dola 150 milioni za Marekani (Sh345 bilioni) kwa mwaka kujenga uwezo wa kukabiliana na athari za mabadili-ko ya tabianchi. Makamba amesema fedha hizo zinatakiwa kutumika kujenga uwezo katika sekta ya kilimo, afya, miundombinu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…