makamba

  1. Waziri wa Nishati January Makamba, fedha za miradi mipya ya Tanesco bajeti 2022/2023 hadi sept 2022 hazijapekwa kanda ya ziwa

    BARUA YA WAZI KWA Mh.JANUARY MAKAMBA WAZIRI WA NISHATI . Ninakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pamoja na salam hizi , ninaomba tukufikishie ujumbe wa barua hii uupate ili uifanyie kazi kuilinda na kuiheshimu heshima ya Rais wetu Samia na kuenzi kauli yake ya kaxi...
  2. January Makamba alituambia alifanya ukarabati wa miundo mbinu ya umeme iliyochakaa. Sasa hizi hitilafu na katikakatika ya umeme inatoka wapi?

    Tuliambiwa na January kuwa miundo mbinu ya umeme ilikuwa imechakaa sana. Hivyo ilihitaji ukarabati wa nguvu. Ukarabati ulifanyika na sasa tunaona hitilafu kibao. Mbaya zaidi umeme unakatika na kurudi ghafla kiasi cha kuharibu vifaa vya umeme vya watu.
  3. Waziri Makamba, Wamemaliza gesi uliyowagawia. Wafanyeje?

    Waziri Makamba, huku mkoani (mkoa kapuni kwa Sasa) wememaliza gesi ulio waletea. Sasa wanataka wajue wanaenda kujaza wapi? Wengenine hawana hela ya kujaza geti. Mnawasaidiaje?
  4. Tukubaliane gharama za Marketing Meneja wa Mitungi ya Gesi huyo January Makamba, zililipwa na Rostam?

    Nataka kujua marketing meneja wa Mitungi ya Gesi aliyeisamabaza mpka visiwani huko ukerewe na Ghana alilipwa na ROSTAM au serikali yetu? Mh Rais nchi hii ni ya kwetu jaman mbona Kuna matumizi hatuyaelewi sisi wengine jaman? Mbona tozo zimekuwa tozolo?jaman nchi hii na tozolo tunaelekea wapi jaman
  5. N

    Waziri Makamba: Bwawa la Mwalimu Nyerere sasa kazi ni usiku na mchana

    Waziri wa Nishati, January Makamba ametembelea mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere Agosti 08 2022 ili kukagua na kuangalia hatua mbalimbali zilizofikiwa na mradi huo. "kwa sasa tumefika asilimia 67, Katika Miaka Miwili na nusu ya Mwanzo (Kuanzia Disemba 2018 - June 2021) tulifikia...
  6. S

    Rais Samia: Makamba kwenye nishati atakufelisha! Umeme unakatika mno!

    Kama unapenda aendelee kuwa waziri sasa unaweza kumbadilisha vizara ila kwa wizara ya nishati kusema kweli ni changamoto kubwa: Watu wanalia kila kukicha lakini wewe kuna uwezekano hupati taarifa sahihi,ila naomba ujue hali sio nzuri! Gharama za maisha zimepanda watu wa ofisi ndogondogo kama...
  7. Bumbuli ya January Makamba yashika mkia ukusanyaji mapato. Ni Halmashauri ya 185 kati ya 185,Wakurugenzi 85 wajieleza kwanini wasiwapishe wengine viti

    Ma-Ded waanza kushushiwa moto,Sasa kuwapisha wenye uwezo wa kukusanya Mapato, Wakati halmashauri 85 zikikusanya mapato chini ya kiwango zilichopangiwa, Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi ya wakurugenzi wake (DED), ikiwataka watoe maelezo ya kilichotokea. Katika halmashauri hizo...
  8. Waziri Makamba atangaza Serikali kununua umeme kwa wawekezaji Njombe

    Serikali imetangaza kununua umeme kwa wawekezaji Chanzo: ITV Tanzania/ facebook -------- Waziri wa Nishati, January Makamba na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wametumia jukwaa moja kutoa majibu ya wananchi wa Lugalawa, wilayani Ludewa mkoani hapa, kuhusu upatikanaji wa umeme na mbolea kwa...
  9. Kwanini Makamba anajiingiza kwenye majukumu ya Wizara ya Kilimo kuhusu kupanda kwa bei mbolea

    Waziri wa Nishati, Makamba amempigia simu Waziri wa Kilimo kuhusiana na suala la tatizo la kilio kikubwa cha bei ya Mbolea akiwa kwenye mkutano wa wananchi Ludewa, inamaana Bashe hawezi kusimamia majukumu yake hadi asaidiwe na makamba au Bashe hawezi kufanya ziara Ludewa kuzungumza na wakulima...
  10. Mamlaka ziko wapi? Waziri Makamba anavunja Sheria za nchi mchana kweupe

    Wakati anaapishwa kuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa kwa mujibu wa sheria. Pia wakati anakula kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma aliapa kutotumia cheo chake kutoa upendeleo kwa ndugu yake au rafiki yake...
  11. USHAURI: Januari Makamba ateuliwe kuwa Balozi

    Ninashauri Rais amteue January Makamba awe balozi na apangiwe nchi ya kuiwakilisha.
  12. P

    Onesha kosa moja la Kafulila nami nioneshe makosa 10 ya January Makamba

    Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba, Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale. Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe...
  13. Kwa haya ya Makamba na Bashe, hakika serikali imebadilika

    "TUJIKUMBUSHE KIDOGO" Mwanzoni mwa mwaka huu, mwezi Januari, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe aliagiza mtuhumiwa aliyekuwa amekamatwa kwa kosa la kuendesha kiwanda bubu cha kutengeneza mafuta ya Mawese katika Kijiji cha Kongowe-Kibaha, Halifa Said atafutwe na asaidiwe na Shirika la kuhudumia...
  14. R

    Uteuzi wa January Makamba unafikirisha sana, lifanyike Jambo

    Habari wana Jf ,ninapata shida sana kuamini kwamba kabla ya kuteua mtu kuwa kiongozi tunafuatilia kwa kina sana . Kwa J Makamba mbali na kwamba ana roho nzuri na ndicho kitu nacho kipenda kwake nimeona haya :- 1.Kutakuwa na Shida kwenye ufaulu wa darasani ,sidhani kama ufaulu wake unaonyesha...
  15. M

    Januari Makamba: Kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi, basi aende pembeni kutapika

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi basi aende pembeni kutapika lakini hataacha wala kusimamisha zoezi la kugawa mitungi kwa sababu ni msaada mkubwa kwa akina mama. "Sasa kama kuna mtu anataka...
  16. Kwanini umaarufu wa Januari Makamba unashuka siku hadi siku amekosea wapi?

    Mwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2015 jina la Januari Makamba lilikuwa na mvuto mkubwa kwenye umma hasa mitandaoni na hata wengi tuliamini anafaa kwa nafasi ya Urais kama ambavyo aliingia kwenye mchakato na kufanikiwa kuingia Tano bora. Nini kimesababisha umaarufu wa Januari Makamba kuporomoka...
  17. J

    Wabunge wa Tabora wamvaa Januari Makamba tatizo la umeme

    Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka amesema pamoja na mambo yote yanayofanywa na Wizara ya Nishati lakini wananchi wa Tabora wanataka umeme. "tuongeee yote wanataka kuona umeme ni umeme ni umeme Naye Mbunge wa Urambo, Margareth Sitta amesema nishati ya umeme kwa wananchi ni uchumi na ni...
  18. Makamba acha hizo ati makandarasi wazawa wanachelesha miradi: SGR na Stigler vipi?

    Matatizo ya viongozi wetu wengi ni kujifanya wanajua masuala ya ukandarasi na ujenzi wakati kiukweli ni watupu kabisa. Taarifa ya habari saa mbili ITV waziri Makamba amewaonya makandarasi wazawa kwa kutokamilisha miradi kwa wakati. Waziri kaongea hivyo akiweka jiwe la msingi kiwanda cha...
  19. J

    Katika hili la kuhamasisha matumizi ya gesi tusimlaumu Januari Makamba

    Wana Bodi suala la Waziri wa Nishati, Januari Makamba kuhamasisha matumizi ya majiko ya gesi limepitishwa na Bunge hili la Bajeti lililomalizika Juni 30. Kama mnavyofahamu Bunge linasimama kwa niaba ya wananchi na wao ndio wameidhinisha atumie Shilingi Milioni 500 kwa kazi hiyo ya kuhamisha...
  20. M

    DCI Kingai anza na Januari Makamba

    DCI mpya Kingai fungua file la uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili Waziri Januari Makamba za kuvunja Sheria za nchi . Fuatilia Kashfa inayoendelea sasa ya kati yake na Kampuni Kubwa ya kuuza gesi ya Taifa gas
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…