Ama kweli mchawi mpe mtoto akulelee.
Hapo mwanzoJ Makamba akiwa kwenye mazingira alikuwa kwenye jopo la kuandaa report Uharibifu wa mazingira ya bonde la mto rufiji ambako bwawa la Umeme la Nyerere linajengwa.
Katika report ile pandekezo yalikuwa ni kutojenga lile bwawa kwa sasa litaharibu...
Sijajua rais Samia alimpendea nini.
Nakumbuka siku ameingia ofisini alisema umeme ukikatika meneja wa eneo hilo hana kazi. Jambo la kushangaza toka ameingia ofisini umeme umezidi kukatika kuliko alivyokuwa Kalemani.
Mbagala kila umeme unakatika bila hata taarifa sijasikia meneja kafukuzwa kama...
Mheshimiwa Waziri Makamba
Inavyoonekana vijana/watu waliotengeneza mfumo wa kulipia kodi ya jengo kupitia ununuaji wa LUKU walichokifanya, ni kukata pesa kupitia kila namba ya simu itakayonunua LUKU bila kujali namba hizo tofauti zinanunua umeme kwa ajili ya mita moja.
Mathalani kama Namba X...
Alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, January Makamba alipata nafasi ya kuhudumu katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati nyeti ya Nishati na Madini ikiwa ni Wiki chache tu tangu kuingia kwake bungeni. Ilikuwaje akaaminiwa katika nafasi hiyo? Na nini kilipelekea kamati hiyo kuvunjwa...
Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo.
Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa...
Wana Jf
Kukatika hovyo kwa umeme ni iShara mbaya sana kwa Wazir J.Makamba, huenda wafanyakazi wanamjaribu au aliowaingiza hawana uweledi wa viongozi, jana watu walishindwa kununua umeme, vijana mnaosema wajiajiri wamekosa pesa.
Siku mzima hawakufanya kazi, leo mkoa wa kagera na sehemu fulani...
Nachelea kusema hivi ila hakuna jinsi.
Generator zinanguruma huku Arusha Hadi mtu unachanganyikiwa
Na hili limetokea tu baada ya huja Jamaa kuteuliwa kulikoni tunaomba kujua
Hivi kweli mnataka kuturudisha kule?
Uwezo wa watanzania ni kulalamika kwa vitendo, kwa kutumia ushahidi wa video zilizopita. Yaani ilimradi walalamike, waweke hisia zao wazi ndio huwa furaha yao kuu. Tangu JPM alale usingizi wake wa milele, kuna wanaoishi kwa hasira na majonzi yasiyosemeka. Kila ambacho Mama atakifanya kitaonekana...
Ndugu zangu Watanzania penye ukweli lazima tuseme hii Nchi ni yetu sote si ya watu fulani tu na siyo kwamba wengine wamekuwa Watanzania by default!
Nimeona nitoe mtazamo wangu ambao ninao kuhusu huu uteuzi wa January Makamba ktk Bodi ya TANESCO.
Kwanza Watanzania tukumbuke kuwa Wizara ya...
Huyu mama Maajar ni miongoni mwa Waanzilishi/Wamiliki wa kampuni ya REX ATTORNEYS na hiyo kampuni ya uwakili ndiyo inayoiwakilisha Symbion na Dowans katika kesi zao dhidi ya TANESCO.
Halafu unatoka hapo unamteua huyo mtu kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO, huoni kuna mgongano wa Maslahi hapo...
Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu.
Ila kwa kweli ni...
Ni udhaifu sana kiongozi kutumia madaraka ya kisheria kutimiza haja zake bila kujali hisia za wananchi. Mabadiliko ndani ya Tanesco yalikuwa muhimu lakini siyo kwa aina hii ya watu wapya ndani ya shirika. Waziri Januari ameleta tena watu wale wale ambao waliiliza nchi hii kwa wizi. Siyo kwamba...
Sisi wananchi wa Makuyuni mkoani Arusha tunaomba tukuletee kilio chetu cha kudhulumiwa fidia zetu na watumishi wa TANESCO mkoa na makao makuu. Majina yao yameorodheshwa chini
Mwaka 2017 tathmini kwa ajili ya upitisha umeme wa msongo wa kilovolt 400 ilifanyika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli...
Tanesco katika maeneo Mbalimbali Hasa Jiji la Mwanza imeshangaza wananchi zaidi 2000 katika eneo la Nyakato kushindwa kuunganishia watu umeme, Hali hiyo inafanya baadhi ya watu kupitia njia za panya kutoa rushwa ili kufungiwa umeme, wananchi wamelalamika bila msaada
Tunatumaini
1)Uteuzi Mpya...
Kama taifa tukifikia pabaya sana, yalijitokeza makundi awamu ya 5 yanaongeza hivyo hovyo bila kujali utu wala heshima na utii kwa waliowazidi umri. Ilikua ni kutukana na kuwatisha wazee wa watu bure pale walipotoa maoni yao.
Mmojawapo ni huyu RC wa Mkoa wa Mara ndugu Alli Happi kipindi cha...
Jamaa kaja na gundu ile mbaya Toka nianze kuishi Rukwa mwaka 2019 umeme haujawahi kukatika kwa siku mara kumi au kupotea kabisa kwa masaa zaidi ya 24.
Ila Toka Makamba awe Waziri wa nishati umeme mkoa wa Rukwa hakuna kabisa na maeneo mengine unakatika mpaka mara 10 kwa siku.
Inawezekana...
Nimesoma taarifa kuwa waziri Makamba atafukuza watu umeme ukiendelea kukatika nimejikuta nasema 'yale yale'..
Makamba mashabiki wake wanampamba Sana kama mtu mwenye akili na Presidential material lakini cha ajabu anakuja na kauli zile zile za kufukuza watu..
Kalemani alikuwa anafukuza na...
kama kuna wanasiasa vijana nchi hii ambao mimi binafsi nawakubali sana kutokana na uwezo wao wa kiakili, wewe ni namba moja mheshimiwa. iko hivyo kwangu muda mrefu tu. na si mimi tu, kuna wengine tu wanaouona umaridadi wako pia......ushahidi upo ulipoingia katika kinyang'anyiro cha uraisi na...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mzazi yeyote anajua mojawapo ya kanuni kubwa za kumfunza mtoto; ni kumuacha wakati mwingine aanguke. Sasa humuachi aanguke mahali pa hatari au ambapo anaweza kuumia vibaya; bali unamuacha aangukie mahali ambapo ataweza kujipukuta na kusimama tena hata kama baadaya kulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.