makamba

  1. The Assassin

    Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa...
  2. M

    January Makamba, shughulikia suala la umeme kukatikakatika ovyo, hili ni tatizo

    Sasa hivi TANESCO wanakata umeme, hawatoi taarifa, biashara na shughuli zetu zinasimama. Huu ujinga utaisha lini nchi hii? Mmeturushia zigo la sisi watumiaji umeme kulipa kodi ya majengo, halafu mnatuambia sisi tumalizane na wenye nyumba HALAFU bado hata umeme huo mnaukatakata. Hivi nyie...
  3. Nyankurungu2020

    Kwa uzandiki aliofanya January Makamba kwa Hayati Magufuli hakupaswa kuteuliwa kuwa waziri. Uzandiki dhidi ya Rais ni kosa kubwa sana

    Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema. Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi...
  4. J

    Urais 2030: Dkt. Mwigullu Nchemba na January Makamba wana nafasi nzuri kuliko Dkt. Hamis Kigwangalla

    Ikumbukwe hawa vijana wadogo watatu Mwigulu, January na Kigwangalla waligombea urais 2015 japo safari yao iliishia kwenye kura za maoni. Niliwapa jina la Three the Hard Way. Safari inaendelea japo naona Dkt. Kigwangalla ameachwa nyuma kidogo lakini kwenye Marathon ushindi ni mbinu na ujanja so...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Nategemea January Makamba ataweza kuifufua sekta ya mafuta na gesi

    Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa. Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii. Karibu Makamba.
  6. Jakamoyo msoga

    Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

    Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa! Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu? Sifa zake kuu ni zipi? Umahiri na udhaifu wake kwa Nafasi hiyo ni upi? Keep in mind ni uzi tu wa kumfikiria JM katika nafasi hiyo na ikitokea lolote...
  7. Leak

    #COVID19 Mzee Makamba: Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki. Lazima wajue uhuru wao unaishia Bungeni

    Mzee Makamba anasema Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki ndani ya CCM kwakuwa wamekuwa wamekuwa wakipingana na Serikali hasa kwenye swala hili la chanjo. Mzee Makamba anasema baadhi ya viongozi wa CCM wamekuwa wakimdharau sana Rais samia hivyo ametaka washughulikiwe mara moja. Mzee Makamba...
  8. M

    Wazee wetu nguli wa Siasa Mzee Kinana na Mzee Makamba kurudi kwenye chati na kuendelea kuheshimika?

    Wadau mtakumbuka jinsi wazee wetu hawa walivyodhalilishwa na watu walio wachanga sana kisiasa hapa nchini, dharau hizo zilizidi hasa katika Serikali ya awamu ya tano. Je, sasa si wakati wa wazee wetu hawa kurudia kuheshimika kutokana na hazina yao ya kisiasa hapa Tanzania? Karibuni kuchangia...
  9. JF Member

    Rais Samia, Hotuba ya Nape na Makamba ni ya kutupumbaza watanzania. Wana jambo lao

    Mh. Rais Samia. Nimesikiliza hotuba za hawa watu wawili, Makamba Jr (Jana) na Nape(Leo). Hawa watu wanajua kucheza na siasa ili mambo yao yakubirike kwa jamii. Ukiteleza kidogo tu wana wewe. Ukiwaangalia kwa nje ni kama kondoo lakini kwa ndani wanalo jambo lao. Ni vile mimi nimeanza...
  10. mama D

    Mzee Makamba; Komredi asiyezeeka

    Asante mzee wetu, Mungu aendelee kukutunza tuendelee kukufaidi
  11. J

    Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

    Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana...
  12. masopakyindi

    Kweli CCM is in dis array, sijasikia Kinana wala Makamba akiongea lolote

    Toka mwisho wa February mwaka huu 2921, Tanzania imepitia msukosuko liasi wa kisiasa na kiserikali kutokana na kutooneka, kufariki, na maziko ya Rais wa nchi Mh. John Pombe Magufuli. Muda wote huu CCM imekuwa kama kungwi, akifanya kazi huku kajigubika kaniki. Cha kushangaza zaidi ni makada...
  13. B

    Spika kumpongeza January Makamba ni kujirudi?

    Baada ya muda mrefu bila January kupigiwa pande la maana bungeni toka alipotumbuliwa, leo amekuwa mmoja ya wabunge waliompongeza Mpango na baada ya pongezi akaeleza pia anavyomfaham na wamefanya kazi wakiwa ofisi ya Rais Kabla January kuhitimisha Spika amesikika akimpongeza January kwa kuucheza...
  14. Father of All

    Makonda na Musiba, Magufuli hayupo. Je, mmejiandaa kisaikolojia?

    Kifo cha rais John Pombe Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Ni rais ambaye amejijengea sifa, maadui hata marafiki. Tanzania, bila unafiki wala kificho itamkumbuka baada ya mwanzilishi wake Mwl Julius Nyerere. Alikuwa mkweli na muwazi ingawa maradhi yake yalizungukwa na kificho...
  15. Miss Zomboko

    Salome Makamba: Uchumi wa Tanzania umesimama tu tangu 2001. Rais haambiwi ukweli na wateule wake

    Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba aliyefukuzwa Chadema amesema itachukua zaidi ya miaka 60 ili kufikia pato la dola 1,500 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Makamba alisema tatizo hilo linatokana na uchumi wa Tanzania kusimama tangu mwaka 2001 na kudai wateule wanashindwa kumwambia ukweli Rais...
  16. K

    Januari Makamba sikuoni barazani, what's wrong?

    Watu wanajadili kukosekana kwa Makonda, Kigwangala, Nape, Gambo kwenye baraza la Mawaziri wanashindwa kujua hata January hayupo. Je, January hakustahili, Hana sifa au mzee ameona kwamba akimpa atatumia muda mwingi kujitangaza kuliko kumsaidia? Je, ni kosa kwake kujitabiria na kujipanga kugombea...
  17. J

    Uchaguzi 2020 January Makamba asikitika kupitishwa bila kupingwa, atamani angechaguliwa na Wananchi wa Bumbuli

    January Makamba anasema mwaka 2015 kwenye kura za ubunge alifaulu kwa 84% na mwaka huu baada ya kufanya kazi kubwa jimboni alitegemea kufaulu kwa 90%. Lakini kwa bahati mbaya kwa yale yaliyotokea amejikuta tayari amepitishwa kuwa mbunge jambo ambalo halimpi fahari yoyote kama mwanasiasa "...
  18. Roving Journalist

    Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  19. Cannabis

    Uchaguzi 2020 January Makamba akana kuporwa fomu kwa mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia CHADEMA

    Mhe. January Makamba amenukuliwa katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter akikanusha kuporwa fomu za kuteuliwa kugombe ubunge kwa muomba ridhaa ya kugombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia CHADEMA. Habari zilianza kuenea mitandaoni mapema asubhuhi kuwa Mgombea wa CHADEMA jimboni...
  20. Pascal Mayalla

    Japo yamesemwa mengi mazuri kuhusu Mkapa, kwa maoni yangu, maneno haya ya January Makamba ni one among the best kumhusu Benjamin William Mkapa

    Wanabodi, Wakati leo tunampumzisha mpendwa wetu Benjamin William Mkapa kwenye pumziko lake la milele. Nilidhamiria Kwenda Lupaso Kumzika Mkapa. Mimi ni mwandishi wa kujitegemea, ambaye sifanyii kazi chombo chochote cha habari, lakini habari zangu nasisambaza vyombo mbalimbali vya habari na...
Back
Top Bottom