Watu wanajadili kukosekana kwa Makonda, Kigwangala, Nape, Gambo kwenye baraza la Mawaziri wanashindwa kujua hata January hayupo.
Je, January hakustahili, Hana sifa au mzee ameona kwamba akimpa atatumia muda mwingi kujitangaza kuliko kumsaidia? Je, ni kosa kwake kujitabiria na kujipanga kugombea...