makamba

  1. RWANDES

    January Makamba ameacha shida kubwa kwenye nishati ya umeme

    Kilio ni kikubwa maeneo mengi ya nchi huyo waziri kiujumla mimi tangu amepewa Wizara ya Nishati sijaona amefanikiwa kwenye chochote zaidi ya kutuacha kwenye giza totoro Hata huko alipopelekwa kufichwa hakuna atakachofanya ila kwa kuwa utawala wenyewe hauangalii uchapakazi basi maisha lazima...
  2. Nyankurungu2020

    Ufisadi hauwezi kuisha sababu mkuu wa nchi ana 'double standard'. January Makamba alipiga dili la Mahindira Tech hakung'aka

    Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi. Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka. Hii ni double standard 👇
  3. P

    Suala la umeme linazidi kuwa baya, Sasa ni bora Makamba

    Wiki nzima hii umeme unakatila ghafla kila siku Dar es Salaam, tena mara kadhaa hata mara 5 kwa siku tofauti na wiki 2 zilizopita. Ni ajabu hii imeanza baada tu ya Makamba kuondoka Wizara ya Nishati. Hii nchi kila siku zinazopita inazidi kurudi nyuma. Inatia hasira sana. Hapa ninapoandika...
  4. K

    Sakata la Nishati ya Mafuta Nchini: Makamba kakwepushwa na lawama makusudi

    Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?
  5. JanguKamaJangu

    Waziri Makamba akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Viwanda na Teknolojia ya Juu wa Serikali ya UAE

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Waziri wa Viwanda na Tekinolojia ya Juu wa Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Sultan Ahmed Al Jaber Jijini Nairobi, Kenya. Waziri Makamba amekutana na Al Jaber pembezoni mwa Mkutano...
  6. JF Member

    Kwanini January Makamba akipewa wizara anafanya mabadiliko ya staff wengi?

    Kwa mliofuatilia teuzi za January. Akiteuliwa tu hubadili watendaji wa wizara karibia wote hadi kuvunja board za wakurugenzi? Hii ni tofauti kabisa na wengine? Shida Huwa ni Nini? Wataalam wa huko mawizarani huwa kuna Nini? Na haohao aliowaweka siku akiondoka wanashangilia Tena.
  7. K

    Kwanini Makamba na Byabato wametolewa wote Wizara ya Nishati na wote kupelekwa Wizara ya Mambo ya Nje?

    Jamani kuna mtu anajua kwanini hawa mabwana wameondolewa Nishati na wote wamepelekwa mambo ya Nje?
  8. VUTA-NKUVUTE

    Tetesi: TANESCO 'kwazizima' Makamba kuhamishwa Nishati. Waendelea na 'mfungo'

    Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi...
  9. M

    Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

    January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi. Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete. Mwenye ushahidi wa...
  10. U

    Doto Biteko njia alotengeneza Makamba ni mbovu. Kwa kuanza tengeneza yako!

    Mh, kwanza nakupongeza kwa kuwa Waziri mpya wa Nishati. Nina imani na wewe! Mhe, kutokana na imani niliyonayo kwako.. nisingependa kuona unaharibu kama alivyofanya mtangulizi wako. Hivyo basi nakushauri kufanya yafuatayo : 1. Tengua bodi aloteua Makamba. Bodi imejaa watu wenye makando kando...
  11. Logikos

    Nilistaajabu ya Ngeleja, Ninaona ya Makamba

    Hapo kabla alikuwepo Ngeleja, Huyu Bwana mgao ulikuwa ni kawaida jamaa alikuwa vema kwenye kupanga bila vitendo, mipango isiyo na mwisho. Akaja Hayati Magufuli mambo yakawa bora na tukapewa ahadi umeme kushuka pindi Bwawa likiisha, akatwambia mgao ulikuwa unatengenezwa watu wauze magenerator...
  12. F

    January Makamba aliwahi kushauri wote waliozaliwa kabla ya 1961 wasigombee Urais

    Ujana una mambo yake mengi sana tena Sana tu. Mheshimiwa January Makamba Enzi hizo akiwa ni mmoja wa watarajiwa wa kuchukua fomu za Ugombea Urais CCM 2015, alitoa maoni kuwa siasa na uongozi wa nchi ni sharti uende kwa vijana. Alienda mbali kwa kusema wote waliozaliwa mwaka 1961 kurudi nyuma...
  13. J

    Makamba wizara imemshinda sikiliza video hii

  14. Teko Modise

    Yuwapi January Makamba wakati huu nchi ikiwa gizani?

    Waziri wa Nishati, January Makamba yuwapi kwasasa? Sehemu kubwa ya nchi haina umeme mpaka mida hii. Waziri amekaa kimya? Sawa najua TANESCO walitupa taarifa asubuhi, lakini kwa uzito wa suala hili Waziri alipaswa atoke hadharani atupe updates. Yuwapi Januray Makamba?
  15. S

    Mawaziri hawa watano utumishi wao haujatukuka

    Wana Bodi, Kuna Mawaziri 5 ambao sina uhakika sana na rekodi zao katika Utumishi wa Umma hivyo mambo mengi yanayohusu Public Fund hawayajui na wanadhani wakiwa Mawaziri wanaweza kufanya maamuzi yoyote kuhusu fedha za Umma bila kufuata sheria za nchi. 1. Mwigulu Nchemba sijui rekodi yake kama...
  16. Naanto Mushi

    Makamba na genge lake wamekurupuka kwenye bei ya mafuta, na benki kuu nao wapo kwenye usingizi wa pono

    Nimeshtushwa na hatua za waziri Makamba na Ewura kukurupuka kwa kuongeza bei ya mafuta kwa kisingizio cha eti, ‘kuna uhaba wa dola nchini’. Nauita ni uamuzi wa kukurupuka kwasababu yeye Makamba na Ewura hawana mamlaka ya kisheria kuzungumzia uhaba wa dola kwenye uchumi, hiyo ni kazi ya benki kuu...
  17. U

    January Makamba anafaa kugombea Urais 2030

    #JanuaryMakambaForThePresidency2030 Wadau hamjamboni? Ukweli lazima usemwe tu haya kama muda wa kuusema haujafika. Ndiyo January Malamba ndiye chaguo sahihi la Watanzania kuelekea 2030 Naam anazo sifa zote, uchapakazi, weledi, uzoefu wa kutosha kuanzia awamu ya 3 hadi sasa. Anao uzoefu...
  18. S

    Wananchi wapate shida ya mafuta lakini viongozi husika wanazidi kuneemeka

    Wananchi wanapata tabu kubwa kwenye suala la mafuta lakini familia za kina Makamba, Tulia na mumewe Bosi wa Ewura ziendelee kuneemeka huku Watanzania wakiteseka kwenye nchi yao. Nimeona huko Kiteto mafuta lita Tsh. 5,000 wao wanaona sawa tu. Ili mradi waendelee kubaki kwenye nafasi zao. Nchi...
  19. Roving Journalist

    Waziri January Makamba akishiriki katika Uzinduzi wa Taarifa ya TANESCO kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linazindua taarifa ya mwaka 2023/2024 na Mpango Mkakati wa miaka 10 utakaoanza kutekelezwa katika mwaka wa fedha wa 2024/2025. Omary Issa aeleza sababu kuwajengea uwezo watumishi Tanesco Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania...
  20. Nsanzagee

    Nijuavyo! Kuna kesi mbili za wanachi wakiishitaki serikali! Moja tu inasikika, ile ya mkulima na kina makamba imeishia wapi?

    Wakati mawakili wa serikali wakiendelea kunyeshewa mvua ya mawe mahakani kwa mkataba tata wa bandari zetu, shauku yetu kama watanzania na wafia nchi, ningependa kusikia hili la ufujaji wa mapesa yetu walipa kodi Huyu mkulima aliyetangaza kuwafikisha mahakamani mawaziri kadhaa wa serikali kwa...
Back
Top Bottom