makamba

  1. Msanii

    Kama mzee Makamba alirekebishwa kauli, kwanini kauli nzito ya Zitto dhidi ya TISS imebarikiwa?

    Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe. Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale...
  2. Boss la DP World

    Watu wazuri hawafi: Mzee Makamba hajaonekana kwenye msiba wa Mzee Membe

    Huu uzi hauhusiani na uzi wowote, ni kama ule wa watu wazuri hawafi. Amakweli nimeamini mzee Makamba alimaanisha alichokisema maana hajaenda msibani, wala hajatoa salamu za rambirambi, nimeangaza angaza sijafanikiwa kumwona mwanawe msibani. Hongera mzee wangu kwa kusimamia kauli yako.
  3. S

    Membe, Kinana, Nape, Makamba kwanini hawakumzika Rais Magufuli?

    SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli? Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika? Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe...
  4. Chizi Maarifa

    Je, Membe hakuwa na mahusiano mazuri na Yusufu Makamba? Alikosea wapi?

    Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa. Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na Makamba? Je walishawahi kutofautiana? Maana angekuwa mtu mwema mpaka leo hii angekuwa anadunda tu...
  5. J

    Mzee Makamba tubu dhambi ya wazuri hawafi

    MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako.. hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania...
  6. U

    Kitendo Cha Roma Kusema Hadharani Waziri Makamba anavutia Sigara , ni kuingilia uhuru wake

    Wimbo wa Roma ni Mzuri, na umeongea mambo yenye ukweli, ila mambo mengine ameyasema hakupaswa kuyasema. Katika wimbo wake amesema January kugongeana Sigara, sawa sote tunajua January ni Chain Smoker, lakini hajawahi kuvuta Sigara katika hadhara yoyote Wala kumbugudhi mtu, kitendo Cha Roma...
  7. britanicca

    Wanachapana mitandaoni Mwigulu na Makamba itakuwaje Rais akawa Mwinginee kama ilivyotokea kwa Lowassa na Membe

    Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi! Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na kila kitu Ila Uvulana bado unawatawala sana Mtu ambaye umeshakuwa unakuwa na Dalili zifuatazo 1...
  8. J

    Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  9. T

    CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

    CCM, tunawasaidia ili kuendelea kutawala hii nchi, na itabidi muanze kutulipa tunaosaidia na kuwapa mbinu za kuendelea kuaminiwa, bado mna watu makini. Tukianza kuifanya nchi yetu kuwa ya majaribio, ni kutudharau Watanzania, sio kila mtu aweza kuwa kiongozi, Mungu ametupa vipawa tofauti...
  10. britanicca

    Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

    Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa, Makatibu wakuu 7 watabadilishwa Na wakurugenzi mbalimbali Je, BASHIRU...
  11. N

    Mzee Makamba anasema Watanzania tukae tutulie Rais Samia anafanya kazi nzuri

    Mzee Yusuph Makamba amesema "Tusimfundishe namna ya kufanya kazi hatumtendei haki...niulize kwa haya yanayoendelea je kuna mwenye mashaka tena na uwezo wake hadi sasa? Rais Samia kwetu Watanzania ni kiongozi bora, anatosha. Wakae watulie sasa" Ameongeza kuwa "Muhimu tumwombee kwa kuwa ni...
  12. Bonge La Afya

    NGUVU YA MSAMAHA: Stori niliyosikia kwa January Makamba mwaka 2021

    Anasema mwaka 2008, akiwa Msaidizi wa Rais Kikwete, alikuwa ziarani Makete. Alikuwa anatumia gari na dereva wake wa Ikulu, aliyeazimwa kutoka Jeshini. Jioni moja, kuna document ya Rais alitaka aifanyie kazi na kumpelekee kesho yake saa 1:00 asubuhi. Akamwambia dereva amfuate saa 12:30 asubuhi...
  13. K

    Yusuph Makamba: Tusimfundishe Rais Samia kufanya kazi, hatumtendei haki

    Wakati serikali ya awamu ya sit chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu ikianza kuchukua hatua kutokana na mapungufu yaliyoainishwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)watu mbalimbali wametoa mitazamo yao ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba anasema...
  14. Stephano Mgendanyi

    January Makamba: Majadiliano mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (LNG) yakamilika

    Waziri wa Nishati, January Makamba, amesema kuwa, majadiliano yanayohusu Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia baina ya Serikali ya Tanzania na wawekezaji Kampuni ya Shell ya Uholanzi na Equinor ya Norway na washirika wao yamekamilika na kwamba sasa wataalam wapo katika kazi ya kuandika...
  15. Hismastersvoice

    Hizo MW 5,000 unazozipigia chapuo Waziri Makamba zipo?

    Watanzania tuna tatizo kubwa sana la upatikanaji wa maji safi na salama lakini serikali haifanyi juhudi kubwa kulitatua tatizo, huko Manyara, Arusha na Kilimanjaro wananchi wanatumia maji yenye kemikali hatari kwa maisha yao lakini Serikali inaona ni sawa tu, shukurani ziifikie Japani kwa...
  16. BARD AI

    Waziri Makamba: Uzalishaji wa Umeme na Gesi Asilia umeongezeka

    Imeelezwa kuwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa umeongezeka na kufikia megawati 1,777.05 Desemba 2022 sawa na ongezeko la asilimia 4.87, ikilinganishwa na megawati 1,694.55 zilizokuwepo hadi kufikia Septemba 2022. Aidha, katika kipindi cha Julai hadi...
  17. L

    Mliomshambulia January Makamba njooni mumpongeze baada ya hali ya umeme kutengemaa

    Ndugu zangu watanzania, Uongozi Unahitaji kuwa na ngozi ngumu, Unahitaji kuwa na msimamo, Unahitaji kuwa mvumilivu na mwenye Subira, Unahitaji kuwa na Nidhamu ya kimaamuzi, Unahitaji kutoyumbishwa na upepo uvumao, Unahitaji kujuwa unasimamia Nini, Unahitaji kujuwa kuwa huwezi ukawafurahisha...
  18. peno hasegawa

    January Makamba, miradi ya umeme yenye dhamani ya 57 Bilioni imekwama kanda ya ziwa au hujawalipa wakandarasi?

    Kuna shida inayoendelea kunyemelea uongozi wa awamu ya 6. January Makamba, waziri wa Nishati alipita mikoa ya kanda ya ziwa na kusema ametuma fedha za miradi ya umeme takribani 57 Bilioni. Cha kushangaza na kusikitisha hakuna mkandarasi site mikoa yote ya kanda ya ziwa na wanaccm wanasubiri...
  19. saidoo25

    Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

    MTANGAZAJI MAHIRI nchini Tanzania, Gerald Hando amemuuliza Januari Makamba kwanini alipoingia kwenye Wizara hiyo umeme ukaanza kukatika hovyo kwanini asimuulize Kalemani aliwezaje. "Januari Makamba tumuulize swali moja dogo sana Kalemani amekaa miaka 6 umeme haujakatika yeye ameingia tu umeme...
  20. M

    Nukuu muhimu ya Januari Makamba kwa watanzania 2022

    NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya kutafuta fedha kukusaidia tunayo na nataka nikuhakikishie wengine sisi ni washindani dhidi ya matatizo na...
Back
Top Bottom