Hapo kabla alikuwepo Ngeleja, Huyu Bwana mgao ulikuwa ni kawaida jamaa alikuwa vema kwenye kupanga bila vitendo, mipango isiyo na mwisho.
Akaja Hayati Magufuli mambo yakawa bora na tukapewa ahadi umeme kushuka pindi Bwawa likiisha, akatwambia mgao ulikuwa unatengenezwa watu wauze magenerator...