Huyu Samia nani kamlazimisha kugombea huu urais? Huyo mzanzibari hataki hii kazi, ni Kikwete? Kwa maslahi ya nani?
Ni wazi zahv hatuna Rais wa JMT, mwezi wa Februari wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea nauli walivyoona wao inafaa, hatumwona waziri wala naibu wake wala mkurugenzi mkuu...
Kwakuwa hii sijaiona JF, nimeona niiweke for our records:
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo, Prof.Pius Mbawala, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa familia, Prof. Mbawala...
Waziri wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa amelitaka Baraza la Kumi na Tatu (13) la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kuhakikisha linasimamia kikamilifu kufanyika kwa mafunzo na tafiti zinazolenga kutatua changamoto katika Sekta ya Usafirishaji na kutoa mchango katika ukuaji wa uchumi nchini
Prof...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.