makame mbarawa

Professor Makame Mbarawa is a Tanzanian CCM politician and a nominated Member of Parliament. He is currently the Minister of Transport in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Samia huyo mpemba wako waziri wa Uchukuzi yuko wapi, wamekufa watu zaidi ya 30, nauli zinaongezwa holela Makame Mbarawa Mnyaa wala hana taarifa!

    Huyu Samia nani kamlazimisha kugombea huu urais? Huyo mzanzibari hataki hii kazi, ni Kikwete? Kwa maslahi ya nani? Ni wazi zahv hatuna Rais wa JMT, mwezi wa Februari wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea nauli walivyoona wao inafaa, hatumwona waziri wala naibu wake wala mkurugenzi mkuu...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Prof. Pius Mbawala afariki dunia. Aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo

    Kwakuwa hii sijaiona JF, nimeona niiweke for our records: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo, Prof.Pius Mbawala, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa familia, Prof. Mbawala...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa Aagiza Baraza la 13 NIT Kuimarisha Mafunzo na Tafiti za Sekta ya Usafirishaji

    Waziri wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa amelitaka Baraza la Kumi na Tatu (13) la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kuhakikisha linasimamia kikamilifu kufanyika kwa mafunzo na tafiti zinazolenga kutatua changamoto katika Sekta ya Usafirishaji na kutoa mchango katika ukuaji wa uchumi nchini Prof...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…