Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!
Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha...
Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.
Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================
Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma.
Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu...
abdulrahman kinana
ccm
dodoma
januari
kufanya
maalum
makamumwenyekiti
mjumbe
mkutano
mkutano mkuu
mkutano mkuu ccm
mkutano mkuu wa ccm
mkuu
rais samia
samia suluhu
tarehe
wajumbe
Uamuzi wa Heche wa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kukisaidia sana chama chake kwa sababu zifuatazo:
1. Hotuba yake imeonekana level heade. Kuingia kwa Heche katika kinyang'anyiro hiki kinafungua milango kwa kuwapa watu option ya kuwapigia kura Mbowe na Heche. Hii ina...
==
https://www.youtube.com/live/N5uOf6VW-OA?si=oguOArFN95aS-bTR
Hatimaye Mwamba mwingine wa siasa toka CHADEMA Mhe John Wegesa Heche anaunguruma muda huu kupitia wanahabari wa nje na ndani ya Tanzania,
Huenda Mhe John Heche akatangaza kumkabili vikali Ezekiel Wenje kwani tayari...
Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya...
Mimi kwa mawazo yangu huyu wenje ni pandikizi la Mbowe tuombe mtu mwingine achukue fomu kama Heche kwa nafasi hiyo mbona kimya.
Nawatakia Krismas njema
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Heshima kwenu,
CCM no sawa na mtu aliyeshindwa kulea na kuhudumia watoto wake, lakini anaomba kujitolea kumtunza Yatima IL Hali watoto wake wamemshinda.
Angalia, Kipara kipya, Magonjwa Mtambuka,lakini na wana CCM kiujumla wanavyoshupalia kumponda Lissu,na kutamani Mbowe agombee na aendelee kuwa...
Leo Wenje ndio anajitokeza kujitetea ila siku zote alikuwa kimya.
Swali: Unaweza kuzushiwa tuhuma nzito kama hizo halafu ukakaa kimya kisa tu hukutajwqlwa kwa jina lako?
Mwanzoni watu walidhani Lissu anaongea kitu ambacho hakipo, ila sasa ni wazi yote aloyoyasema yana ukweli na namshauri...
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm.
Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
Wanaukumbi,
ACT imeendelea kutoa spana kwa chama tawala yaani CCM.
Akiwa anazungumza kwenye kampeni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita alitoa tuhuma kali dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa chama hicho kimegeuka kuwa genge la wahalifu linalojinufaisha na...
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
Mimi The Palm Beach si mwanachama wa CHADEMA ila ni mpenzi na mfuasi wake na nakiunga mkono kwelikweli chama hiki...
Ni wazi kuwa Kuna mgogoro mkubwa kati ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake Tundu Lissu ndani ya CHADEMA
Nitasikitika na kuumia sana kama chama hiki cha siasa...
TAARIFA KWA UMMA
Kwa mujibu wa Kifungu cha 5(1) kikisomwa pamoja na jedwali la Sheria ya Shirika la Posta ya Mwaka 1993 Kipengele cha 1(1)(b) pamoja na Tamko la Waziri Na. 845 lililochapishwa kwenye Gazeti la Serikali la tarehe 15 Novemba, 2019 vinampa Mamlaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na...
Hali inakuwa si nzuri kwa vyama pinzani nchini kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa ambapo kila leo unasikia wanakutana na vibwanga. Leo ACT Wazalendo wanasema wagombea wao bila NIDA basi fomu awapati.
Mbona tuliambia kwamba uchaguzi huu utakuwa wa uhuru na haki! Lakini hali na kasoro kibao...
Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu.
Succession plan ichukue mkondo na nafasi yake kuimarisha ustawi wa Chadema ijayo sasa.
Upo...
ikiwa hali ya kisiasa nchini na mipango mikakati kuelekea uchaguzi mkuu 2025 itakwenda kama ambavyo iko hivi sasa, basi ni dhahiri mgombea makamu Mwenyekiti Chadema taifa atabaki Ezekia Wenje pekee..
Je, ni ishara ya pumzi mpya, fikra mpya, mawazo mapya, harakati mpya na zama za hayati Chacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.