Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano,
Katika Jiji hili kuu la Kibiashara la Dar es Salaam leo majira ya saa 7:35 mchana anatarajiwa kutua mwanamapinduzi wa kweli Tundu Antipas Lissu ambaye anarejea nchini mwake baada ya kulazimika kuwa uhamishoni kwa takriban miaka 6 kutokana na Jaribio la...
Wanaukumbi.
SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.
Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.
Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.
Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?
Kikwete hakuwaita wapinzani...
KWA NINI VICTORIA CHARLES MWANZIVA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2022-2027
Kuna mambo Matano Muhimu sana katika Maisha ya kawaida mtu anapotaka kununua kiwanja katika eneo Fulani na kujenga nyumba lazima azingatie upatikanaji wa huduma muhimu za Kijamii kama Maji, Umeme, Nyumba za Ibada, Shule...
Mkutano Mkuu wa dharura wa chama cha NCCR-Mageuzi umemchagua Joseph Selasini kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho.
Selasini amechaguliwa katika uchaguzi uliofanyika leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma.
Katika uchaguzi huo, Selasini amepata kura 173 kati ya...
Sasa nimejifunza na kutambua kauli inayosema ‘ ni kauli za kisiasa’.
MaRPC wa mikoa ya Arusha na kilimanjaro wameamua kupuuza kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mh Kinana kwa kufungulia trafic wa kutosha ndani na nje ya miji.
Idadi ya matrafiki bara barani imezidi tena na mijini wanazunguka...
1. Aamrishe aliyewadanganya Watanzania katika 23.3% ya Mishahara akamatwe upesi na ashtakiwe afungwe Jela kabisa.
2. Aamrishe wale Wote waliofanya na Wanaofanya Uharamia wa Wanyama katika Mbuga zetu na Kusafirisha Nyara zao ( Ivory and Tusks ) si tu Wakamatwe upesi bali Wauwawe kabisa hata kama...
ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA KWENYE MIKOA 4 KUANZA KESHO JUMAMOSI.
KAZI INAENDELEA
Ziara ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea.
#CCMImara
#KaziIendelee
Dar es Salaam tunakutana eneo moja tu Diamond Jubilee...
Makamu Mwenyekiti CCM Taifa -Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana kesho tarehe 10 April 2022 kupokelewa na kutambulishwa rasmi kwa wana - CCM na Watanzania kwa ujumla wake,
Kinana anayetajwa kama mwanamikakati hatari zaidi kusini mwajangwa...
Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu...
Wazalendo Wote Nchini
Natoa ushauri ufuatao kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi yetu.
Sio Siri Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM upande wa Bara amekuwa na Utumishi wa muda mrefu uliotukuka akihudumu kwenye nafasi mbalimbali ndani na nje ya Chama
Hata hivyo pamoja na ukweli huo...
Muundo wa uongozi wa CHADEMA unapata nguvu kutokana na aina ya watu waliokaa juu, mfumo wao una watu wenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi mmoja Wapo Mwenyekiti na una watu wenye akili nyingi na maarifa mmoja Wapo Tundu Lisu.
Serikali ilipoaanza kupambana na Mwenye akili walidhani Mwenye fedha...
Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,
Je, katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu?
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.