Wengi wanaweza kukataa au kukubali, lakini huyu kijana ameonesha uwezo tangu akiwa mkuu wa wilaya Kinondoni, mkuu wa mkoa Dar, mwenezi wa chama cha mapinduzi na sasa mkuu wa mkoa Arusha. Uwezo wake wa kujituma katika kazi, uwazi, kushuka chini na kutatua kero za wananchi. Anakipenda chama chake...